Mzeee Mwanakijiji tafwadhali waambie waanzie na ofisi za vituo vya police kwanza mwee .sasa ofisi ya umma inatakiwa iweje; chafu, haina taa, ina mkeka chini, na vibatari?
ufahari unapimwa kwa ulinganifu wa sehemu husika na takwimu au idadi kubwa.WAhamisha magoli bana; sasa ni kitu gani cha kifahari humo? taa, zuria? meza, apple computer? Sasa kama hii ofisi ni ya kifahari hii hapa utaiita vipi?
Ameuliza swali, mjibu, kama huna jibu kaa kimya.ofisi nzuri sana! sioni jambo baya apo! tunatakiwa twende na hali ya dunia.