Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

IMG-20170308-WA0002.jpeg
 
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.

Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.

Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES

View attachment 348618
Iparamasa una udugu na Gwajima?? samahani kwa swali la kizushi lakini!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo ofisi za wakuu wa mikoa yoote TANZANIA zimefanyiwa ukarabati kwa pesa za serikali na zinafanana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa DSM?
unasalimiwa yupo south wanagawana mapato ya kazi na kinje...!
Hawezi kuja hapa yupo msukuma hilo hajalijua ameuliza tu gharama za kwenda USA
Wema kasema mbn yule ambaye kila mwezi huwa anakamatwa na kapangiwa Nyumba kule makongo wakiyajua haya tena basi yeye ni muhusika Mkuu wa sembe ya bwakila[emoji40] [emoji41]

Anaongoza mkoa...jiji kubwa kuliko yote EAC hawezi fanana na wa Katavi bana...japo mshahara sawa....wauza ngada tulieni mwacheni apige kazi, ofisi nini bana....
 
Suala la madawa ya kulevya sio lelemama. Angalieni suala hili ndio mtakapojua mnadili na nan. BASHITE anausika katika suala la.Madawa ya kulevya
 
...inasikitisha jinsi wabongo mlivyo wanafiki. Na ndiyo maana viongozi wengi wanaishia kujilimbikizia mali maana hakuna la maana atakalo lifanya kiongozi aonekana kafanya ktk jamii zaidi ya kutaufutiwa visa na mikasa ili aonekane hafai, mwisho wa siku kiongozi anakata tamaa na utumishi uliotukuka na kuanza kujinemeesha
Shikamoo kaka uko sahihi kabisa Watanzania hatujielewi upinzani kila sehemu.
 
Kama mbwai na iwe mbwai

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa DSM enzi za Kandoro na Meck Sadick ilikuwa imechakaa, iko hovyo hovyo tu

Ni Makonda aliyei-pimp, akaweka samani za kisasa, wataalam wa decoration na taa za kuvutia wakitumia vifaa kutoka Uajemi, Ulaya na Marekani.

Alitumia hela zake.

Namshauri akaviondoe vitu hivyo kwenye ofisi hiyo kwa kuwa aliviweka kwa gharama zake. Kama serikali ikimkatalia basi afungue kesi mahakamani kudai fidia.
 
Kama mbwai na iwe mbwai

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa DSM enzi za Kandoro na Meck Sadick ilikuwa imechakaa, iko hovyo hovyo tu

Ni Makonda aliyei-pimp, akaweka samani za kisasa, wataalam wa decoration na taa za kuvutia wakitumia vifaa kutoka uajemi,ulaya na marekani.

Alitumia hela zake.

Namshauri akaviondoe vitu hivyo kwenye ofisi hiyo kwa kuwa aliviweka kwa gharama zake. Kama serikali ikimkatalia basi afungue kesi mahakamani kudai fidia
Hela alitoa wapi?
 
Kwani Kuna ugomvi?. Alifanya hivyo ili kulinda cheo chake?
 
Yeye mwenyewe alisema amekarabati ofisi ya mkuu wa mkoa na hataitumia peke yake bali na watakaomfatia. By the way kuna mama yule wa kizanzibari aliebomoa decoration aliyofanya kwenye nyumba ya shirika la serikali, tochi inamtafuta.
 
Amuulize mke wa jaji mkuu wa Zenji, alibomoa hadi tiles 😀 😀
 
Back
Top Bottom