Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Iparamasa una udugu na Gwajima?? samahani kwa swali la kizushi lakini!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo ofisi za wakuu wa mikoa yoote TANZANIA zimefanyiwa ukarabati kwa pesa za serikali na zinafanana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa DSM?
unasalimiwa yupo south wanagawana mapato ya kazi na kinje...!

Anaongoza mkoa...jiji kubwa kuliko yote EAC hawezi fanana na wa Katavi bana...japo mshahara sawa....wauza ngada tulieni mwacheni apige kazi, ofisi nini bana....
 
Suala la madawa ya kulevya sio lelemama. Angalieni suala hili ndio mtakapojua mnadili na nan. BASHITE anausika katika suala la.Madawa ya kulevya
 
Shikamoo kaka uko sahihi kabisa Watanzania hatujielewi upinzani kila sehemu.
 
Kama mbwai na iwe mbwai

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa DSM enzi za Kandoro na Meck Sadick ilikuwa imechakaa, iko hovyo hovyo tu

Ni Makonda aliyei-pimp, akaweka samani za kisasa, wataalam wa decoration na taa za kuvutia wakitumia vifaa kutoka Uajemi, Ulaya na Marekani.

Alitumia hela zake.

Namshauri akaviondoe vitu hivyo kwenye ofisi hiyo kwa kuwa aliviweka kwa gharama zake. Kama serikali ikimkatalia basi afungue kesi mahakamani kudai fidia.
 
Hela alitoa wapi?
 
Kwani Kuna ugomvi?. Alifanya hivyo ili kulinda cheo chake?
 
Yeye mwenyewe alisema amekarabati ofisi ya mkuu wa mkoa na hataitumia peke yake bali na watakaomfatia. By the way kuna mama yule wa kizanzibari aliebomoa decoration aliyofanya kwenye nyumba ya shirika la serikali, tochi inamtafuta.
 
Amuulize mke wa jaji mkuu wa Zenji, alibomoa hadi tiles 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…