Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

mbona hzo picha zilitumwa kuwa ni ofisi ya yule mwanamama aliekataa mshahara wa epz
 
Atasema kuna watu walijitolea kama mafundi garage wa tegeta walivyojitolea kutengeneza madeski na kukarabati magari mabovu yaliyokuwa yameegeshwa muda mrefu...
Sitaki kuwa Sheikh Yahaya, wala sitabiri mabaya, lakini kuna jambo limefichika katika kuwatumia hao mafundi na kwa sababu Mungu hapendi unafiki na kwa kuwa imeandikwa..kila lililofichika litafichuliwa hebu tusubiri...
 
Atasema kuna watu walijitolea kama mafundi garage wa tegeta walivyojitolea kutengeneza madeski na kukarabati magari mabovu yaliyokuwa yameegeshwa muda mrefu...
Hii ni kashfa kubwa kupeleka gari la umma gereji bubu badala ya temesa,sijui kama ana kibali cha temesa
 
Huyu Makonda ni zao la Jk na ana akili za kifahari za kina shopping centre na Riz1. ni wakati tu lakini saa yaja Magu hataamini.
 
Sitaki kuwa Sheikh Yahaya, wala sitabiri mabaya, lakini kuna jambo limefichika katika kuwatumia hao mafundi na kwa sababu Mungu hapendi unafiki na kwa kuwa imeandikwa..kila lililofichika litafichuliwa hebu tusubiri...
Halafu atawalipaje?wana tenda ya kuyakarabati?AG hatahoji?mkaguzi wa ndani ataruhusu malipo?
 
mbona hzo picha zilitumwa kuwa ni ofisi ya yule mwanamama aliekataa mshahara wa epz
Asante kwa kutambua hilo, nami nimesema hivyo hivyo nimeambiwa kuwa ni za ofisi ya makonda, sasa basi itakuwa kuna upotoshaji au wanatumia ofisi moja maana haiwezekani kila kitu hadi arrangement zikafanana.
Nikiupata uzi nitaweka link.
 
UUnahangaika san
 
Luna mambo ya ajabu Ofisi ya RC kwa sasa. Juzi tokea niwe na fahamu ndio nimesikia eti gereji za watu binafsi zimejitolea kukarabati nagari ya serikali Ofisi ya RC Dar bure. Kweli hiyo ni bure ukizingatia gereji za Tegeta zina mgogoro na Hamashauri ya jiji kuhusu eneo wanalofanyia kazi?
Hapo sio hila yenye mazingira ya rushwa? Nani atawaweza tena hao?
 
Ufahari kiasi hicho?kwa Tanzania yetu?mbona huu ufahari umezidi?
Kama hajazidisha matumizi kwenye kasma ya ukarabati wa ofisi ya mkuu wa mkoa si mbaya. Lakini itakuwa pia mbaya kama ametumia fedha nyingi kukarabati ofisi yake tu, wakati ofisi za wasaidizi wake bado duni, vyoo duni. Hiyo itakuwa ni ulimbukeni
 
Interior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.
Kumbe si mimi peke yangu nimeliona hilo, ni kama furniture show room, sababu kule kwenye kona naona kama kuna kochi hivi sijui kwa ajili gani?
 
M
BONA IKO HIVI????
 
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku

mkuu kwani ofisi ya m/kiti chadema ya ufipa ikoje, tungeiona tukalinganisha
 
O
Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Ofisi ya meck Sadick ilikuwa chafu?ilikuwa inatia aibu?ilikuwa na vitu vya zamani? Mkuu be serious
 
Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Alafu utashangaa kuambiwa Bosi wa ofisi hiyo ana nyumba ya milioni mia mbili kule Kibosho.
 
Ooh! Wow ofisi ya "malaika" hiyo.Mashetani endeleeni kuishi kwenye nyumba za tembe.
 
Vijana wengi wanapenda sana kujikweza ndio tatizo. Ofisi ya serikali sio dhambi kuwa mzuri Bali ilitakiwa iendane na aina ya serikali ziwe sawa na mikoa mingine amepita hadi baadhi ya ofisi za mawazir lakini ndio ujana huo
Bosi wake alimuhangaisha Sana injinia mmoja aliyefanyia ofisi ukarabati baada ya kuhamishwa kutoka Dar kwenda Mwanza. Ikabidi aende kusoma kumuhepuka waziri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…