We sema tu lakini mkuu hapendi hiyo.Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Tulia wee imagine kama hzo kwacha zingetumika kujenga kwake ndo mngesema but ofisi c ya umma au , Hamna jipya nyie siasa uchwara Tu.,
Ni kiongozi wa umma,kuupinga ukweli ni dalili za uchawi
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Hiyo picha sio ofisi ya RC ni ofisi ya aliyekua mkuu wa TCRA
Anakarabati ofisi au kairemba,, mwanaune anapenda urembo wakati watt wanakaa chini hyo pesa angenununua madawati
frankly speaking I like your comment. Heshima yako mkuu seems u r learned and wiseYote kheri. Hata wanangu nawaambia wasimwage chakula wengine wanashinda na njaa, wanakuwa Kama hawanielewi. Personally kuonyesha obvious wealth wakati wengine ni maskini, I find offensive. Hizi ni hisia zangu binafsi.
nimeipiga screen shot hii commentYote kheri. Hata wanangu nawaambia wasimwage chakula wengine wanashinda na njaa, wanakuwa Kama hawanielewi. Personally kuonyesha obvious wealth wakati wengine ni maskini, I find offensive. Hizi ni hisia zangu binafsi.
Aweke wazi gharama na mkandarasi aliyehusika,kama ni Tanzania building agency tujueMmh, wabongo kweli hatuna JEMA!? Nadhani point hapa ingekua hivi; let say uwe unajua gharama za ukarabati wa hi ofisi ambao bwna Makonda kauingia and then ulinganishe na bei halisi, kama bei itakua kubwa kuliko bei halisi ya sokoni nadhani hapo ndio ingekua HOJA, lakini kupinga UKARABATI wa ofisi ya mkuu wa mkoa, hapana hilo suing mkono hata kidogo. Ofisi ya mkuu wa mkoa should be good, kama wakuu wa mikoa wengine hawajafanya hivyo hiyo sio kosa la Makonda.
Mtoa mada kadatishwa ni hivyo vi gypsum viwili vitatu, makopo mawili matatu ya rangi na huto tu kabati tulitopambwa! Mbona mi sioni gharama yeyote hapo zaidi ya hiyo computer ya Apple?Ni vizuri muhusika afanunue
Hata nchi nyingi zilizoendelea hawatumii computer za Apple kutoka na gharama na applications. Kwa nini hawakununua Dell au HP kuokoa gharama?Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Duu! Si mmetuambia kua mnabana matumizi had I kuzuia binge kuoneshwa live? Au ndio comedy?Kwani kuna ubaya gani kwa ofisi ya mkuu wa mkoa kuwa ya kisasa zaidi? Tuna miradi lukuki na wabia wengi wa kutuletea maendeleo, kuna ubaya kwa wao kutukuta katika hali ya unadhifu? Hata kama tuna maskini wengi, sioni mantiki katika kuushikia bango umasikini na kuutangaza, ukizingatia kuwa tumejizatiti katika kuleta mabadiliko.
Kwani unadhifu ni lazima uhusishe ufujaji?Duu! Si mmetuambia kua mnabana matumizi had I kuzuia binge kuoneshwa live? Au ndio comedy?