Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Najibu mimi japo sio CDM. Hiyo document iliyofojiwa ipo kwa msajili kaificha matakoni, ipo siku ataitoa kwa wito wa mahakama subiri hii kesi ya covid19 inoge. Sasa CDM wamekosa ushahidi kwa kesi hii mana haesjawshi kuigusa hiyo document, wanajua kitu hicho kipo kutokana na matokeoHawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie
Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili
Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?
Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha
Atakuja mtu kuijibu hii post.
Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see[emoji23][emoji23]