Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie

Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili

Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?

Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha

Atakuja mtu kuijibu hii post.

Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see[emoji23][emoji23]
Najibu mimi japo sio CDM. Hiyo document iliyofojiwa ipo kwa msajili kaificha matakoni, ipo siku ataitoa kwa wito wa mahakama subiri hii kesi ya covid19 inoge. Sasa CDM wamekosa ushahidi kwa kesi hii mana haesjawshi kuigusa hiyo document, wanajua kitu hicho kipo kutokana na matokeo
 
Chadema wanayo haki ya kuwafukuza wanachama na Wanachama wanayo haki ya kupinga kufukuzwa hiyo ndiyo Haki za binadamu.Huwa nawasikia mara nyingi mkihubiri haki ni haki gani mlizozikusudia?

Mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya utoaji haki?

Mliposema katiba hii inatoa mamlaka makubwa Kwa mtu mmoja nilidhani mlikusudia kuondoa ukiritimba uliojificha kwenye maamuzi ya vikao vya wengi wenyekupitisha Matakwa ya mtu mmoja.

Nilidhani muda wa kusujudu fikra za Mwenyekiti pekee umekwisha!

Kwanini tuchukie Jambo kufikishwa mahakamani ili tupate tafsiri sahihi ya mambo ambayo yamekuwa yakitatiza jamii?

Kwanini hamu yetu ni kukomoa,kujenga,chuki isiyokuwa na maslahi Kwa jamii?
Hoja yako unaitupia CHADEMA yote wakati uongozi umesema mahakamani ndipo uwanja mzuri wa haki?
 
Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie

Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili

Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?

Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha

Atakuja mtu kuijibu hii post.

Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see[emoji23][emoji23]
Unategemea usitukanwe kwa nini?
 
Walipelekaje majina wakati Kulikiwa hakuna kikao cha kuwachagua WAbunge WA Viti maalumu
Kikao cha nini? Majina ya viti maalumu huwa yanajulikana kwa kuwa yanashindanishwa majimboni na orodha hiyo inaanza juu mpk chini

Orodha ilishapelekwa na kikao walishakaa na barua iliandikwa
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Mahakama za CCM au mahakama zipi?
 
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
Hivi unaweza kueleza, Nusrat Hanje alitokaje Gerezani Usiku kwenda kuapa kuwa Mbunge...bila kuhusisha Jinai ya kughushi??? ...

Tuliza akili
 
Kama mleta UZI anayasema haya kutoka moyoni kabisa na akili zake ndio zimemuelekeza kuandika hivi (binafsi nashawishika kuamini kaandika akiwa na mahaba ya chama and hence akili inakua likizo ) basi naililia sana Tanzania yangu kwamba elimu haitufundishi kabisa kufungua au kukiona kilicho jificha and hence uwezo wetu wa kupambanua mambo ni mdogo mnoo au hatuna kabisa. Hivi kwa utawala ule ambao ulikua haujali chochote kinacho husu sheria, mahakama zilikua zinapewa maelekezo ya nini cha kufanya, police pia then utegemee Chadema waende mahakamani au police na kupata HAKI? Anyway, labda swali la kijinga kwa mleta UZI; kwani upelelezi wa kutekwa kwa MO na shambulizi la Lissu yalifikia wapi? Unaamini kwamba yale mambo hayapelelezeki? Kama jibu lako ni ndio kwa hilo swali then shule HAINA maana kabisa. Tujikite kwenye kilimo na ufugaji tu, hatuwezi kushindana hata na Wafrica wenzetu!
 
Kama walipeleka ya nini kufukuzana?
Wamewafukuza kwa sababu kuna maeneo huenda wameshindwana. Si unajua tena ktk chama kuna watu ndiyo hujiona wao ni kila kitu.. hao mabinti huenda pia walibaki na misimamo iliyowakera wakubwa ktk chama
 
Hizo huenda huenda zingebakia kuwa hisia zako tu, sio unazileta hapa hadharani.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Angaikia maisha ya familia yako. Achana na wanasiasa jinai jinai! ndio nini tumia nguvu hii ya kuhoji kutafuta fedha
 
Wamewafukuza kwa sababu kuna maeneo huenda wameshindwana. Si unajua tena ktk chama kuna watu ndiyo hujiona wao ni kila kitu.. hao mabinti huenda pia walibaki na misimamo iliyowakera wakubwa ktk chama
Kuzungumzia kitu kimoja halafu watu hawaelewi unapata mashaka na uwezo wao au pengine wanaelewa ila dhamira yao sio sahihi.
Hebu msikilize Tundu Lissu akieleza kwa ufasaha na utulivu mkubwa, na usipoelewa sidhani kama utakuja kuelewa tena.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
NEC walinyamaza, walipuuza maombi yote ya CHADEMA. Wote mnajua vizuri hali ilivyokuwa. Isingewezekana kufungua mashitaka bila CHADEMA kuipata barua hiyo. Sasa hivi aliyegushi, washirika wao wote karibu wataanikwa mahakamani. AMEN.
 
Hizi hbr unazoandika ingekuwa nimwanachama kama John Mrema anaisiwa hivi angekuwa uraiani! Police wangesubiri kuletewa tuhuma? Ebu twambie hapo
 
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
Hatua ya kwanza tu waliyoifanya hao chadema kuwafukuza ilikuwa best zaid issue inakuja reaction ya watawala baada ya kujulishwa kuwa hao wabunge hawastahili. Je unadhan polisi wangekuja na soln ipi? Kama maelekezo ni yale yale ya watawala.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Acheni ujinga, chadema imelalamika hadharania kwamba covid-19 imefoji signature ilj wanipatie ubunge. Imewafukuza na kisheria sio wabunge gena na hili sakata linachafua taswila ya bunge, mahakama, serikali na nchi kwa jjjmla na na taasisi zote za usalama na uchunguzi zimesikia hili saga, sasa tujjulize kwanini hawajitokezi kufanya jchunguzi kwa mamana taswlia ya nchi inaharibika, na kama chadema ni waongo kwa ninavyojua serikali inavyowatafutaga chadema sasahivi tungekuwa tunaongea mambo mengine
 
Back
Top Bottom