Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

Hy pia n sababu ila sio sababu kubwa.
Mtu unaenda kuishi uswahilini kwa watu waliochoka automatically Huwez kuwa na mali zitakazowavutia wezi, Ukiona Una mali Za kuwavutia wezi bc tafuta mtaa wa kuendana na hali ya uchumi wako.
Nimekuokota mkuu
 
1. Kunaepusha husda na uchawi miongoni mwa majirani na maadui wa familia. 2. Ni utamaduni tu uliojengeka tangu kale,hata wanyama mfano paka wana tabia za kuhama usiku 3. Kuepusha aibu, imagine mtaani ulikuwa unasimulia wewe huwezi kulalia godoro inchi 1 wakati unahama unahama na sandarusi iliyojazwa pamba.
 
Unapakiza vitu vyako kwenye cerry, watu wanauona vigodoro vibovu na vinu vilomeguka, matambara n.k, ha ha haaa...aibu
Au unahama na ma furniture ya maana watu macho kodo wanakuhusudu....bora tu kujistiri na hilo giza la usikuView attachment 3607517
Hahaha mkuu hufai we shenzi kabisaaaaa 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…