Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

Hiyo ndiyo nature ya siasa ni chadema waliomponda lowasa kuwa ni fisadi miaka kibao Hadi wakamuorodhesha kwenye Ile list of shame ila huwezi amini ndani ya siku moja waligeuka na kuanza kumsifia na kumsafisha ili awapatie kura
Hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu katika siasa, strategy mojawapo ya kupata kura na legitimacy ya uongozi ili kubadilisha mfumo ovu wa CCM
 
Binafsi nawashangaa Sana hawa wajomba. No wonder why mikiutano Yao haina ladha kabisa siku hizi.
 
Naona Kila dalili ya chadema kukata tamaa hivyo wanatafuta hoja za kuwaondolea kura alafu waanze kusingizia tume huru na jeshi la police
Kwa chama dhaifu kisichokuwa na ushawishi kwenye jamii kuna sababu gani ya kusita kuweka tume huru ya uchaguzi na kuwa na uchaguzi huru na haki?

Kulikuwa na haja ya kufanya maridhiano na wachovu si wangeenda kuridhiana na ACT?
 
Sukumagang utawajua kwa hoja zao za kipumbavu, chama cha hovyo serikali ingekubali kukaa nao na kufikia maridhiano? Magufuli anayependwa na watanzania kwa nini hakukubali uchaguzi huru na haki?

Wanaomsifia ni sukumagang na wagonjwa wa akili
Serikali yenyewe unaiona iko sawa? Wote ni walamba asali.Maridhiano my foot! Unadhani Chiba angeweza kumshinda JPM una akili timamu wewe chawa? Hizo asali sijui mnalambia makalio
 
Hoja dhaifu kwa nini hamtaki uchaguzi huru na haki kwa chama ambacho mnaamini hakiwezi kushinda uchaguzi wa Raisi wala kupata wabunge majority?
 
Ndiyo maana nasema machawa hamna akili timamu, Uhai wa waliokufa kwa tozo au kwa umeme kukatika wakiwa ICU au kwa huduma mbovu za afya mtaweza kufidia? Au wao sio watu? Watu wanateseka maisha yamekiwa magumu kila kitu bei juu huku mkiwa busy kulamba asali mara semina hafla ziara za kipumbavu! Endeleeni kulamba asali lakini iko siku
 
Nimesikia,ila inahusiana vipi na ulichoniquote?
Umelewa ama?
Kila silu watu wanasema humu wakati wa mwamba qwatu walikuwa wanauwa na wasiojulikana. Hivyo nimekujinu kwa kuregere mrembo was benki aliechomwa moto at the same time nikauliza swali; bado hujaekewa?
 
Akilizao zipo tumboni,hawawezi kuelewa ulicho andika hapo.
Hata izokura wanazotafutaga nikwaajili ya matumboyao tu,sio kwaajili ya kutafuta nafasi ya kufanya mabadiliko.
Yani wanajitoa akili na kujifanya kama vile watu hawajui mazuri aliyokuwa anafanya Magufuli.
 
Kwa uelewa wako na Imani yako kwa Mungu wako,

1. kura walizopata chadema uchaguzi uliopita ndio walizotangaziwa kuzipata?

2. Mazingira ya uchaguzi kwa CCM na wagombea wake ilikuwa ni Sawa kabisa kwa chadema na wagombea wake?
 
Jambo hili halifanyiki kwa bahati mbaya,kwa sababu wale wanaoyafanya haya.tunawajua na tunawaelewa historia zao.Ni ushirika ulioundwa makusudi ili kutimiza malengo yao upya.
Ndio hao wanaogawana keki ya nchi hii kama ilivyokuwa mazowea kabla ya 2015.
Wengine wakijiita walamba asali.

Kuanzia EPA,RICHMOND MEREMETA, SYMBION POWER na ma uozo lukuki yaliykuwa yameichungulisha kaburi "CCM."
Ikiwemo na ile HOME SHOPPING CENTER ambayo sasa ndio SILENT OCEAN. Ambayo Mzee Asali Junior aliwauxia kiwanja cha CCM.kinyemela wakati akiwa K/M CCM asali ilee!
Ambapo sasa ndio makao makuu yao hao "Bahari kimya".

Pale alipoingia Magufuli na kuanza kuusafisha huu uozo.
Na ndipo CCM na wafuasi wake walipopata nguvu mpya ya kukijenga upya chama.
Hadi leo wanapopata nafasi ya kumsimanga wakati akiwa hayupo tena mbele za familia yake!

*Magufuli kafa na kuacha...
*IKULU mpya ya Chamwino.
*ATCL mpya.
*SGR Mpya.
*Nyumba mpya za Magomeni.
*Mabweni Mapya UDSM.
*Daraja jipya la Tanzanite.
*Daraja jipya la Wami.
*Bwawa jipya la umeme JNHP.
*Stendi kuu za mabasi za kisasa Dodoma,Morogoro na Mwanza.
*Meli mpya Ziwa Victoria na ukarabati wa Mv Victoria.
*Meli Mpya ziwa Nyassa.
*Ndege na Helikopta mpya jeshini.

Pia kanunua Rada mpya nne nchini na kuondoa utegemezi wa Rada za Kenya.

Akafhibiti utoroshaji madini Mererani kwa kujenga ukuta na akaanzisha madoko huru ya madini nchi nzima.

Akazuia utoroshaji wa fedha kupitia utitiri wa Bureau de change mitaani.

Akarudisha nidhamu kwa watumishi sekta ya Umma na hakusita kutumbua mtu kwa uzembe hata kama alikuwa rafiki yake kama Charles Kitwanga.

Akaondoa vyeti feki na mushahara hewa nchi nzima.

Amekufa na kuiacha Tanzania ikiwa uchumi wa kati tukiwa kasi ya ukuaji ya 7.1%.

Yote haya ameyafanya ndani ya miaka mitano.halafu wajinga fulani wanajikusanya na kudhani wanaweza kuja kuizima legacy ya mtu kama huyu kwa kusjiri wajinga fulani mitandaini ili kumtukana?

Itakuwa ngumu sana hilo kutokea na labda mkabomowe hiyo miradi na kuwauwa wale wote wanamkubali na kumkumbuka Magufuli.
 

Kikwete alifanya mambo mara 20 ya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…