Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bora wanyimwe kura lakini waseme ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnahangaika na Iddy Amin? liwe fundisho kwa madikteta wengineMimi ni CHADEMA lakini kwa suala hili chama kinazingua sana, kuna haja gani ya kuhangaika na mtu aliyetangulia kwa Mungu?
Juha mpumbavu katika ubora wake, mauaji yakifanyika chini ya utawala wake anayekuwa accountable ni nani?Wewe nani alikwambia? Au uliona mwenyewe akiuwa, na kufungulia kesi watu. Ni kina nani hao? Wewe ni mmoja wapo nini?
Mbona sasa hivi hamtukani hadharani? Mmelamba asali?
Wewe nini kinakushinda kuyasemea hayo? Au chadema ndiyo baba yako? Chadema hawahitaji kura za nyie Sukuma gang
Sukuma gang enzi zake alipokuwa chawa wa Jiwe, sasa kabaki kubwabwaja na kutukana tu.Chadema si chama cha watu wa upinde wa mvua,ulishawai ona msukuma anajilegeza hivyoo?
Tafuta kamusi uangalie tafsiri ya neno MARIDHIANO(reconciliation) then urudi uusome upupu wako.Wewe nani alikwambia? Au uliona mwenyewe akiuwa, na kufungulia kesi watu. Ni kina nani hao? Wewe ni mmoja wapo nini?
Mbona sasa hivi hamtukani hadharani? Mmelamba asali?
Facts gani unayotaka? Wewe kusifia muuaji Magufuli umekomaa akili?Nikajua nakuuliza maswali mtu uliyekomaa akili,kumbe ni walewale mipasho mingi ''facts'' sifuri
Mpumbavu wewe kachomwa kwa sababu za kisiasa kama mungu wenu muuaji Magufuli?Acha upumbavu hukusikia yule mfanyakaxi was benki aliechomwa moto?
Mpumbavu siyo tusi bali ni uhalisia wa mjinga asiyejijua kuwa ni mjinga, kwa maana ukijitambua kuwa wewe ni mjinga utafuta ujinga.Matusi ndio silaha pekee ya mtu asiyejiamini na asiye na utimamu.
Mapumbavu sukumagang yanajua kila anayempinga dikteta Magufuli lazima awe kwenye makundi yenu ya CCM.Kumbe nabishana na mafii ya msoga the pusha ...chegovara
Kabla hujakuja na hoja za kipuuzi fanya tafiti kwa maana no research no right to speak period.Kwani uwongo hebu unipe idadi ya albino waliouawa kipindi chake taja pia takwimu za wagonjwa wa kipindupindu siku zake ukilinganisha na zama za mtangulizi wake?
Ona kauli za majuha ni hali ya kawaida kuua, kuteka, kubambikia kesi wapinzani wako wa kisiasa?Hizo ni hali za kawaida kwenye chaguzi hata Mbowe hajawahi kuweka mazingira sawa kwenye uchaguzi wa mwenykiti chadema.
Mkuu akikujibu nitag nisikie jibu la kijuhaSukuma gang enzi zake alipokuwa chawa wa Jiwe, sasa kabaki kubwabwaja na kutukana tu.View attachment 2555153
Ubongo wako ni mdogo sana.Facts gani unayotaka? Wewe kusifia muuaji Magufuli umekomaa akili?
Njoo na hoja ya maana kusema kuwa Magufuli amewacharaza CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020 ndio ukomavu wa akili au ujuha?
Hujui mazingira ya uchaguzi wa 2020? Nasisitiza huwezi mtetea Magufuli kama una akili timamu, anayeweza kumteua mtu kama Sabaya na Makonda kisha kuwalinda ana akili timamu?
Kama unaona ni mipasho utajua mwenyewe na upuuzi wenu
Basi sifa hizo itakuwa unazo wewe ikiwa tu unapata chuki kuona binadamu mwenzio akisifiwa kwa kufanya vizuri.Mpumbavu siyo tusi bali ni uhalisia wa mjinga asiyejijua kuwa ni mjinga, kwa maana ukijitambua kuwa wewe ni mjinga utafuta ujinga.
Tafsiri nyingine ni
Kuujua UKWELI
Kuutambua UKWELI
Lakini kuamini uongo
Na kulazimisha wenye akili waamini uongo.
Magufuli alikuwa muuaji acha wenye akili waseme ili taifa lisije kupata shetani mwingine kama yeye, teteeni mkipenda ila msizuie wenye akili kusema, tutawapiga za uso mtakimbilia kusema mmetukanwa.
MTAJIJUA
Wewe huna ubongo kabisa tena mpuuzi. Hakuna uchaguzi uliofanyika chini ya tume inayowajibika kwa mteuzi wake ambae ni mwenyekiti wa CCM na ni mgombea.Ubongo wako ni mdogo sana.
Nilikuuliza kabla uchaguzi 2020 kulikuwa na chaguzi zingine 2015,2010,2005,2000 na 1995.Ni uchaguzi gani katika hizo ulikuwa wa haki?.
Jibu ulonipa bado unarejea uchaguzi 2020.
Mbona wwe Mapombe hajakupiga risasi!?Nyie wapumbv na wajinga huyo mjinga Mapombe aliharibu nchi akaua watu ,akapiga risasi so mlikuwa hamuoni wajinga nyie huyo Jamaa yenu
Pumbavu wewe kuua ni kufanya vizuri?Basi sifa hizo itakuwa unazo wewe ikiwa tu unapata chuki kuona binadamu mwenzio akisifiwa kwa kufanya vizuri.