Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa?
Makundi ya vijana kuratibu hayo maandamano yalikua yanafanyika wapi? Kama ndani ya shehia zao vyombo vya ulinzi na usalama vilikua wapi mpaka watu wanaratibu Vikao?