Gentleman,
Tume ya jaji chande ilieleza wazi kabisa kwamba vijana waliobebwa ufala wa kifikra na kujiingiza katika ghasia zile walizitaja wazi tena kwa majina AZAKI na vyama vya siasa vilivyowaandaa na kuwafadhili kufanya uhayawani ule.
Tume mpya ya kijinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi, inawajibika sasa kufanya upelelezi wa kina na kubaini ukweli usio na shaka juu ya hilo, na kuchukua hatua muafaka za kisheria kwa wote watakaothibitika kuhusika katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo na vifaa vya fujo na waliofadhili utekelezaji wa ugaidi ule.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye hili 🐒