Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini vilipanga, kuratibu, kutoa mafunzo na kufadhili utekelezaji wa kilichotokea Oct 29.2025 kupitia vijana.Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa?
Makundi ya vijana kuratibu hayo maandamano yalikua yanafanyika wapi? Kama ndani ya shehia zao vyombo vya ulinzi na usalama vilikua wapi mpaka watu wanaratibu Vikao?
GwajiboyDhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa?
Makundi ya vijana kuratibu hayo maandamano yalikua yanafanyika wapi? Kama ndani ya shehia zao vyombo vya ulinzi na usalama vilikua wapi mpaka watu wanaratibu Vikao?
Sawa mkuu Sema sasa hivi watanzania wengi wameenda shule na wanajua kuchanganua mambo kulingana na exposure na nchi nyingine na mabadiliko ya teknolojia ,kwa hiyo yapo mambo mengi ambayo wanayaona na kufahamu uhalisia wake Ila ndio hivyo wameshika kwenye mpini hivyo ikitoka ripoti ni Vyema iwe na uhalisia na ushahidi ili isiibue sintofahamu na kuacha vinyongo kwa watu ukizingatia inakua imetumia mda mwingi na gharama kuiandaa.baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini vilipanga, kuratibu, kutoa mafunzo na kufadhili utekelezaji wa kilichotokea Oct 29.2025 kupitia vijana.
hata hivyo,
kuhusu kitiwa nguvuni kwa wahusika hao ni suala la muda tu, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, wakati tume ya jinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi tu, ikijipanga kufanya upelelezi wa kina na kujiridhisha ili hatimae sheria ichukue mkondo wake bila kumuonea au kumuumiza yeyote.π
Mungu Ibariki Tanzania
Hahaha Una uhakika?Gwajiboy
Vipi ambao waliuliwa bila hatia? Mfano watoto wadogo na waliokua majumbani?baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini vilipanga, kuratibu, kutoa mafunzo na kufadhili utekelezaji wa kilichotokea Oct 29.2025 kupitia vijana.
hata hivyo,
kuhusu kitiwa nguvuni kwa wahusika hao ni suala la muda tu, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, wakati tume ya jinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi tu, ikijipanga kufanya upelelezi wa kina na kujiridhisha ili hatimae sheria ichukue mkondo wake bila kumuonea au kumuumiza yeyote.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kwani Gwajiboy ndiyo nani?Hahaha Una uhakika?
Usifikiri humu ndani kila mtu ni mse.nge kama wewe.....baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini vilipanga, kuratibu, kutoa mafunzo na kufadhili utekelezaji wa kilichotokea Oct 29.2025 kupitia vijana.
hata hivyo,
kuhusu kitiwa nguvuni kwa wahusika hao ni suala la muda tu, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, wakati tume ya jinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi tu, ikijipanga kufanya upelelezi wa kina na kujiridhisha ili hatimae sheria ichukue mkondo wake bila kumuonea au kumuumiza yeyote.π
Mungu Ibariki Tanzania
relax gentleman,Usifikiri humu ndani kila mtu ni mse.nge kama wewe.....
Hivi wewe bwege mtozeni unafikiri watu malofa?...relax gentleman,
changia mjadala bila makasiriko nonsense na itapendeza zaidi π
Unachosema hapa ni tuna taarifa za ufadhili ila hatumjui mfadhili, tuna taarifa za mafunzo ila hatumjui mtoa mafunzo. Wangefahamika wangekuwa watuhumiwa na wameshikiliwa au kuwa nje kwa dhamana.baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa nchini vilipanga, kuratibu, kutoa mafunzo na kufadhili utekelezaji wa kilichotokea Oct 29.2025 kupitia vijana.
hata hivyo,
kuhusu kitiwa nguvuni kwa wahusika hao ni suala la muda tu, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, wakati tume ya jinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi tu, ikijipanga kufanya upelelezi wa kina na kujiridhisha ili hatimae sheria ichukue mkondo wake bila kumuonea au kumuumiza yeyote.π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Unachosema hapa ni tuna taarifa za ufadhili ila hatumjui mfadhili, tuna taarifa za mafunzo ila hatumjui mtoa mafunzo. Wangefahamika wangekuwa watuhumiwa na wameshikiliwa au kuwa nje kwa dhamana.
gentleman,Hivi wewe bwege mtozeni unafikiri watu malofa?...
Kwa taarifa yako watu wanaijua serikali na chama kuliko wewe bibie....
Wewe si unasema hao AZAKI ndio wameratibu...lete ushahidi.
Kwenye issue nzima kuna players kama 5 kama ifuatavyo:-Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa?
Makundi ya vijana kuratibu hayo maandamano yalikua yanafanyika wapi? Kama ndani ya shehia zao vyombo vya ulinzi na usalama vilikua wapi mpaka watu wanaratibu Vikao?
We fala tu .......huna hoja!gentleman,
tume ya jinai iliyoundwa ili kuthibitisha ushiriki wa baadhi ya AZAKI kupanga and kufadhili ghasia zile.
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye hilo π
Watuhumiwa siku zote hukamatwa, wamejaa magerezani upelelezi ukiendelea. wapo wamekaa rumande muda mrefu ndo wanaachiwa kuwa hawakuwa na kosa. Kwanini si hawa wa oct 29?Gentleman,
Tume ya jaji chande ilieleza wazi kabisa kwamba vijana waliobebwa ufala wa kifikra na kujiingiza katika ghasia zile walizitaja wazi tena kwa majina AZAKI na vyama vya siasa vilivyowaandaa na kuwafadhili kufanya uhayawani ule.
Tume mpya ya kijinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi, inawajibika sasa kufanya upelelezi wa kina na kubaini ukweli usio na shaka juu ya hilo, na kuchukua hatua muafaka za kisheria kwa wote watakaothibitika kuhusika katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo na vifaa vya fujo na waliofadhili utekelezaji wa ugaidi ule.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye hili π