Watuhumiwa siku zote hukamatwa, wamejaa magerezani upelelezi ukiendelea. wapo wamekaa rumande muda mrefu wakaachiwa kuwa hawakuwa na kosa. Kwanini si hawa wa ct 29?Gentleman,
Tume ya jaji chande ilieleza wazi kabisa kwamba vijana waliobebwa ufala wa kifikra na kujiingiza katika ghasia zile walizitaja wazi tena kwa majina AZAKI na vyama vya siasa vilivyowaandaa na kuwafadhili kufanya uhayawani ule.
Tume mpya ya kijinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi, inawajibika sasa kufanya upelelezi wa kina na kubaini ukweli usio na shaka juu ya hilo, na kuchukua hatua muafaka za kisheria kwa wote watakaothibitika kuhusika katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo na vifaa vya fujo na waliofadhili utekelezaji wa ugaidi ule.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye hili π
Kwahiyo vyombo vyetu vimelala kabisa kina Heche na Jacob wanagawa pesa wanawaachia tu watambeKwenye issue nzima kuna players kama 5 kama ifuatavyo:-
1. MangeKimambi- Kuhamasisha kwenye mtandao kwa kutumia matukio ya kweli na ya uwongo
2. Maria Sarungi- Kufadhili fedha kwa wanaharakati na vijana wa kuanzisha fujo nchini. Pia kuunganisha wanaharakati wa Kenya kuishambulia Tanzania na Rais kwenye mitandao
3. Heche John- Kutafuta fedha Kenya kwenye NGOs zinazoshirikiana na Maria Sarungi kama Ford Foundation
4. Josephat Gwajima - Kutayarisha watu wa kufanya maandamano kutokea Kanisani kwake pale Kibo
5. Boniface Jacob- Kuratibu shughuli za vijana waliotoka Kenya na kuwa link na wana Chadema maeneo ya Mbeya, Songwe, Tarime na Kimara
gentleman,Watuhumiwa siku zote hukamatwa, wamejaa magerezani upelelezi ukiendelea. wapo wamekaa rumande muda mrefu wakaachiwa kuwa hawakuwa na kosa. Kwanini si hawa wa ct 29?
Kama waliratibiwa na walikua na mafunzo je walikua na siraha gani? Ziko wapi? Mafunzo yao hayakuhusisha silaha?Gentleman,
Tume ya jaji chande ilieleza wazi kabisa kwamba vijana waliobebwa ufala wa kifikra na kujiingiza katika ghasia zile walizitaja wazi tena kwa majina AZAKI na vyama vya siasa vilivyowaandaa na kuwafadhili kufanya uhayawani ule.
Tume mpya ya kijinai iliyoundwa na Rais hivi majuzi, inawajibika sasa kufanya upelelezi wa kina na kubaini ukweli usio na shaka juu ya hilo, na kuchukua hatua muafaka za kisheria kwa wote watakaothibitika kuhusika katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo na vifaa vya fujo na waliofadhili utekelezaji wa ugaidi ule.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye hili π
Watuhumiwa wa oct 29 kutokuwa mahabusu kama watuhumiwa wengine wa mauaji ndo fikra mpya na mawazo mbadala?gentleman,
ulinganisho wa tuhuma unaojaribu kuufanya, inaonyesha wazi mwisho wako wa fikra mpya na mawazo mbadala,
Open up your minds eyes π