Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Hivi wewe Mbuzi unaongelea Milioni 200 Kwa Taifa kama Tanzania? Masikini ni wewe na Ukoo wenu. Milioni 200 hata Mkulima Mmoja wa Mahindi anaweza kuilipa
 
Unakuwa mvivu hata kwa mambo ambayo yako wazi duniani? Ingia google halafu endelea kubishana. Mimi nauliza nani kalipa kama hela zetu tujulishwe faida tuliyopata kwa dakika 3 au tumelipiwa tujiandae?
Ujulishwe wewe kama nani? Unachotakiwa kujulishwa wewe ni taarifa za Udaku Tu
 
Unakuwa mvivu hata kwa mambo ambayo yako wazi duniani? Ingia google halafu endelea kubishana. Mimi nauliza nani kalipa kama hela zetu tujulishwe faida tuliyopata kwa dakika 3 au tumelipiwa tujiandae?
Sitafuti ubishi ila ndugu mbona naona kama unajipiga gwala mwenyewe kwa mwenyewe? Unamshauri awache uvivu na aingie google kupata taarifa alizokuuliza, sasa ni kwa nini nawe mwenyewe huendi kuuliza huko huko kwa uncle google ni nani alielipa hizo hela?
 
Tuacheni ushamba mambo mengine mnayatunga vibaya,hayaendani ,hizo data za kulipa mmezipata wapi ? Wacheni kututilisha aibu kwa madai ya uwongo,mkishitakiwa mlete ushahidi mtasema mnaonewa.
 
Kwani Tanzania ni sawa na Rwanda?
Yani sisi tuige kitaifa kidogo masikini cha kidekteta? Mko serious?!
 
Sijamtukana mtu nimejibu kuhusu hao waarabu kutokuijua bendera ya Tanzania....wao si watu?!!!

Matusi hayauzwi....nawaheshimu wazazi wako......

Hongera mkuu[emoji106]

Umeniita mjinga
Humu kuna watu wa kila aina na heshima ni jambo la maana sana

Uwe na heshima kwa kila mmoja
Tunachangia na tunaeleweshana
Wewe unazijua bendera zote za Africa na ndio continent lako

Tunatofautiana mawazo ila kumuita mtu mjinga ni kosa kubwa sana hapo umeamua kutukanwa tu
Next time watch your mouth
 
Tuacheni ushamba mambo mengine mnayatunga vibaya,hayaendani ,hizo data za kulipa mmezipata wapi ? Wacheni kututilisha aibu kwa madai ya uwongo,mkishitakiwa mlete ushahidi mtasema mnaonewa.
Hukalazimishwa kuja kuchangia hapa. Kwa kiwango chako cha akili umevuka mipaka mpaka umefika hapa. Rudi kwenye timu yako ya washangiliaji mkaandae jubilee!
 
£ 30 m kwa miaka mitatu au 42M us dollars kwa 3 years
So ni 10 M british per year
 
😁 32 kama hayo? Safi sana, Wewe ni mkali wa kuona maendeleo na kutokukenua meno 32!
 
Point Hapa ni kuwa fedha za kufanya mambo yasiyokuwa na tija zipo ila kwa mambo ya msingi hakuna.
Unaweza kuendelea kunywa Pepsi baridi Kwa starehe maana umeiona concept kubwa ya huu Uzi. Lakini Mtu anaibuka na Point za sijui mbona Rwanda imetangaza Asernal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…