Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Tatizo la Tanzania sio matangazo.

Tatizo letu ni usimamizi mzuri wa Rasilimali , kukusanya mapato na usimamizi mzuri wa miradi hilo tu.

Hayo mengine ndio tunaita matumizi mabaya ya fedha za uma.

Tumia akili na sio hisia.
 
Nani aliyekwambia ni tangazo inaweza kuwa ni ishara tu ya umoja na mshikamoni baina ya nchi mbili.
 
Zimenisaidia Sana maishani maana sijawahi kujipendwkeza na kujikombakomba kama wewe. Nakula Kwa Jasho langu sitegemei Uchawa kama wewe.
Niwe chawa au nisiwe chawa lakini kikubwa ni kwamba akili zako za kijima unalazimisha zifanyekazi kwenye zama A teknolojia
 
WATANZANIA:
Rwanda inajitangaza sana sisi serikali yetu imelala tu Messi anavaa jezi imeandikwa visit Rwanda sis tumelala

WATANZANIA:
Nani amelipia milion 200 kutangaza nchi kwenye jengo refu zaidi duniani wakati mitaani ajira hakuna
 
Tatizo la Tanzania sio matangazo.

Tatizo letu ni usimamizi mzuri wa Rasilimali , kukusanya mapato na usimamizi mzuri wa miradi hilo tu.

Hayo mengine ndio tunaita matumizi mabaya ya fedha za uma.

Tumia akili na sio hisia.
Haya hamkuyasema wakati mkiliowa buku 7.
Puanguani waheed...sijui nini.

Mnapotolewa mezani mnajifanya zimewarudi.
Mwacheni Samia naye afurukute...tusubiri matokeo ili tumpongeze au tumlaumu.
Kwa muda huu ameona kuitangaza nchi ndio njia pekee ya kuvuna watalii na wawekezaji...tumsubirie ukingoni .
 
WATANZANIA:
Rwanda inajitangaza sana sisi serikali yetu imelala tu Messi anavaa jezi imeandikwa visit Rwanda sis tumelala

WATANZANIA:
Nani amelipia milion 200 kutangaza nchi kwenye jengo refu zaidi duniani wakati mitaani ajira hakuna
 
😍
 
Sasa mkuu naona unataka kuanza kunipangia nini cha kufanya jambo ambalo sio sahihi.

Ninao uhuru wa kusema yale nayoona yanafaa kusemwa muda huo.

Sasa kama unaona nakukera sana. Acha kusoma tu comments zangu soma za wengine.
 
Bendera ya Taifa ipo kila mahali hata mitandoni ipo.

Sasa hii ya kuilipia milioni miambili kwa dakika tatu ni ufujaji tu wa fedha za uma.
 
Sasa mkuu naona unataka kuanza kunipangia nini cha kufanya jambo ambalo sio sahihi.

Ninao uhuru wa kusema yale nayoona yanafaa kusemwa muda huo.

Sasa kama unaona nakukera sana. Acha kusoma tu comments zangu soma za wengine.
Naona nawewe unanipangia wa kumjibu.
Nitakujibu ukereke kama mlivyotukera wakati wa mateso ya watanzania awamu iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…