Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Naona nawewe unanipangia wa kumjibu.
Nitakujibu ukereke kama mlivyotukera wakati wa mateso ya watanzania awamu iliyopita.
Sasa mzee unafikiri ukinijibu kwa lugha yoyote nitakereka.

Mimi nina uzoefu wa kudeal na watu wa aina mbali mbali na wengine wenye majibu mabaya kuliko hata unavyofikiri.

Unapoteza muda wako bure. Just mind your own business.
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA

Kupitia kodi na tozo mbali mbali kalipa ebo acheni kuchezea kodi za waTanzania.
 
Sio kwa ubaya ila kuna kizazi cha wanaharakati wa sasahivi wanafanya propaganda kama wapo miaka ya 60.
 
Kupitia kodi na tozo mbali mbali kalipa ebo acheni kuchezea kodi za waTanzania.
Kenya walipotupiga bao kuhusu Kilimanjaro mlilalama

Rwanda walipojitangaza kwenye soka mlijitangaza

It is our time
 
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.

Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.

USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Manufaa yake ni yapi ?
 
kwani maza c alienda kwa wanaume wa dunia we tatizo liko wapi acha ufukunyuku
 
Hata wamasai wa Kenya wanaijua bendera ya Tanzania sembuse waarabu wa GULF?!!

Ujinga mzigo

Ungekuwa umefika uarabuni ungewajua hawa watu
Una akili za wapi wewe unafikiri kila mmoja anazijua bendera za dunia hata wazungu wengine hawaijui
Hebu jiongeze basi
Akili yako ya kuvukia barabara tu hata border hujavuka
 
Faida ya kuonekana hapo ni kubwa kuliko hiyo hela iliyotoka,
Hongera sana kwa kuipaisha tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…