Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Hawa Watanzania siyo wa kuwaamini kabisa..

Wanaisifia Rwanda kila siku.

Leo TZ imefanya wanalalamika
 
Vitu vya kudumu si ndo mtalia kabisa…kama hii millions 157 unalia lia ukisema uweke kwenye jezi ya arsenal si mtaandamana
Hatutaki hela yetu ichezewe hata kama nyie mnaiona ndogo. Sisi tunaolipa Kodi tunajua uchungu wa hela siyo nyie Kula kulala wa serikalini
 
Rwanda kwa Arsenal ni zaidi ya tz600bilions
 
KUNA VICHWA MAJI HUMU NDANI JANA WALIKUWA WANASIFIA NIKAJUA MTAWALA WA DUBAI KAIPENDA TANZANIA KAAMUA KUITANGAZA

KUMBE TUMELIPIA TENA MAPESA KIBAO KWA DAKIKA 3 KAMA BAO LA KUKU
Hii point yako ya mwisho sahihi kabisa. Yaani chwa chwa tangazo limeisha mil.157 tayari.
 
Kwa Hilo tangazo tu,watu watajenga mahekalu mbezi beach,njiro,Shangani,mbweni(Dar na Zenj)uzunguni dodoma.na magari ya kifahari yatanunuliwa
 
Madilu huyu huyu, anatubetisha?! Utunusuru yarabi!!
Mtu unafumba macho na kufumbua tangazo limepita. Vya mlevi huliwa na Mgema. Na bado Madelu anamwaminisha Chief tangazo limepata impact kubwa!!
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Acha ujinga,Hilo jengo ni la mtu binafisi siyo Mali ya Serikali.
 

Tangazo la kutangaza rangi za bendera dah! Eiffel Tower huko, London Tower et al wanalight up minara ya bendera za nchi in a more meaningful ways and supporting events. Hapo tumepigwa kama kupigwa tu. Ushamba mzigo
 
Hii nchi inatafunwa sana

Yaani zipo milioni 200 za kulipia tangazo la dakika 3 lakini ajira kwa vijana hakuna na tunakopa fedha za kujenga vyoo.
Vijana ukiwaajiri utatumia gharama hiyo ya 200m kwa miaka yao yote ya ajira?
 
Hawa Watanzania siyo wa kuwaamini kabisa..

Wanaisifia Rwanda kila siku.

Leo TZ imefanya wanalalamika
Hawa wajinga wanafananisha tangazo la Rwanda na Tanzania tatizo wanaficha ukweli la Rwanda tunaliona Kila siku Hilo la Tanzania ni wachache wamebahatika kuliona kama chafya tu dakika tatu? Ama kweli tumepigwa na kitu kizito
 
Kazi ya chui jike hiyo, baba. Kazi iendelee
 
Kwani zilipoacha kupigwa wakati wa jiwe, kuna maendeleo gani nchi ilipata?!
Wewe punguani Kila siku unapiga picha daraja la uhuru huku ukikenua meno yote selathini na mbili huoni hayo ni maendeleo? Sikumpenda magufuli lakini Kuna mambo makubwa amefanya ambayo Bado hutajayona Kwa mama japo twasikia kwamba mnaandaa birthday ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani
 
Wanapewa Ngorongoro mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…