Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huko siyo Dar es salaam bali mkoa wa Pwani 😎😎Mbona kwetu Mbezi-Kimara na Kibamba hakuna?
Wanazuia, ukifika barabarani ndo unaitaKwani Uber hazifiki JNIA?
Uber ruksa Airport kwa kushusha na kupakia pekee, ila sio ruhusa kuwela kituo.Wanazuia, ukifika barabarani ndo unaita
Wengi wao wapo vizuri kiuchumi especially bongo manKasumba ya watanzania kudhani kuwa kila aliyeshuka kwenye ndege Yuko vyema kiuchumi.....
Sio kweliWanazuia, ukifika barabarani ndo unaita
Sasa mdau unalipa go and return laki3 labdaKasumba ya watanzania kudhani kuwa kila aliyeshuka kwenye ndege Yuko vyema kiuchumi.....
Wana assume nyinyi hampandagi ndege. Zaidi ya kwenda kugombea mabasi pale MagufuliMbona kwetu Mbezi-Kimara na Kibamba hakuna?