Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

Wanawaza kila mtu anayepanda ndege anakuwa na pesa wengine tunapanda hili kutimiza ndoto za kupanda ndefe tunakuwa na maisha magumu
 
Back
Top Bottom