Wengi wenu mnatumia daladalaMbona kwetu Mbezi-Kimara na Kibamba hakuna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wenu mnatumia daladalaMbona kwetu Mbezi-Kimara na Kibamba hakuna?
Umewahi safiri wewe? Hizo bei nani kasema ndogo. 15 usd to 30 usd ni accomodation quotes za BNB nyingi bongo. Hizo bei wanapanda tu wale wasiolijua jiji.Hiyo pesa wewe kama wewe umezoea kugombania daladala ni kubwa ila ndogo sana kwa wageni wanaoshuka humo
Sema wewe huwa una negotiate ila wapo wazambia, wakenya, wazungu, wabongo wakifika hapo wanapanda gari na wanaondoka.Umewahi safiri wewe? Hizo bei nani kasema ndogo. 15 usd to 30 usd ni accomodation quotes za BNB nyingi bongo. Hizo bei wanapanda tu wale wasiolijua jiji.
Ndio maana taxi nyingi ukiarrive tu akikufata unanegotiate. Na zaidi utaita ndugu yako, mtu wako wa karibu au taxi mtandao. Itayokubeba kutoka ndani. Inaruhusiwa.
Hizo bei ni kali kwa kila binadamu. Usifanye wageni hawajui hela.
Sometimes muwe mnachangia nyuzi za watu sio mnaponda tu. Amehoji vizuri sana huyu mtu.
Sio mimi nakupa kwa experience, ipo hivo. Naamini wapo wanaofanya hivo. Na sijasema hawapo soma vizuri nilichoandika.Sema wewe huwa una negotiate ila wapo wazambia, wakenya, wazungu, wabongo wakifika hapo wanapanda gari na wanaondoka.
Hizo bei zipo airport sio sokoni stereo.
Na hata maeneo wameweka baadhi ya maeneo tuKasumba ya watanzania kudhani kuwa kila aliyeshuka kwenye ndege Yuko vyema kiuchumi.....
Uba na Bolt nao wamo?Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi za taxi wametumia vigezo gani kuweka bei kubwa kiasi hiki. Aidha mbona maeneo mengine hayapo?
View attachment 2881681
Economic rapping hiyoWanazuia, ukifika barabarani ndo unaita
Mbaya sana. Ila wanabana tu ila muda ukifika huo upumbavu utasambaratika. Kwa hali ilivyo ngumu kumchaji mtu Tsh 60k kwenda Masaki ni ushetani.Wanazuia, ukifika barabarani ndo unaita
Acha kutetea upumbavu. Mtu ukiwa na hela ndo uzitumie kipuuzi? Mambele ya wapi wewe au unadhani watu wanavyo-comment hawajawahi toka nje ya Bongo?Sasa wewe una hela ya kupanda ndege halafu huna hela ndogo ya taxi ?
Any way hii ni kawaida hata mambele huko, na ukiita uber au taxi binafsi, kuingia au kushusha wanachajiwa.
Hao Taxi wamesajiliwa kufanya kazi hapo tu airport, kwa hiyo lazima wajilinde kimaslahi.
Mna bahati ka airport kadogo unaweza kutembea mpaka nje barabarani, Airport kama Heathrow au Schiphol ni unatembea maili kadhaa ndio utaona nje.
Wewe mjinga dunia kwa sasa ni kama kijiji... hata hao wageni sio wapumbavu wasithaminishe hiyo bei na currency yao. Watu wana mahesabu. Mwaka 2018 nilienda Dubai nikalipa kama Tsh 150k nikapelekwa Dragon Mall kutoka Deira na tukatoka hapo kwenda Dubai Mall kabla ya kurudi tena Deira. Na huko kote ni umbali wa kutosha.Sema wewe huwa una negotiate ila wapo wazambia, wakenya, wazungu, wabongo wakifika hapo wanapanda gari na wanaondoka.
Hizo bei zipo airport sio sokoni stereo.
That airport got some straight up ridiculous regulations,Gari mtandao ikiingia wale taxi drivers wanachukia pia..inashangazamaslahi ya mtu binafsi hayo ndiyo maana Tax mtandao wanapigwa pini kuingia ndani
Ontario mambo haya hakuna siyo ?That airport got some straight up ridiculous regulations,Gari mtandao ikiingia wale taxi drivers wanachukia pia..inashangaza
Hayo mambo nimehadithiwa Tu..hata hivyo naishi chato Na huko pengine sifahamu chochote.Ontario mambo haya hakuna siyo ?
sawa kabisahata hivyo naishi chato Na huko pengine sifahamu chochote
Wengine wanalipiwa kwa ajili ya matibabu ndugu....Sasa mdau unalipa go and return laki3 labda
Kwanini wew nisikuweke kwenye kundi la wenye uchumi mzuri
Lakini si vyema kujumuisha maana wengine wanachangiwa na ndugu na jamaa kwa ajili ya matibabu tu......Wengi wao wapo vizuri kiuchumi especially bongo man