Waswahili shida sana, amelipa Ticket ya ndege laki 4 ila Tax elfu 40 anaanza manenooSasa wewe una hela ya kupanda ndege halafu huna hela ndogo ya taxi?
Any way hii ni kawaida hata mambele huko, na ukiita uber au taxi binafsi, kuingia au kushusha wanachajiwa.
Hao Taxi wamesajiliwa kufanya kazi hapo tu airport, kwa hiyo lazima wajilinde kimaslahi.
Mna bahati ka airport kadogo unaweza kutembea mpaka nje barabarani, Airport kama Heathrow au Schiphol ni unatembea maili kadhaa ndio utaona nje.
Kwaiyo Kila mgeni ni tajiriHiyo pesa wewe kama wewe umezoea kugombania daladala ni kubwa ila ndogo sana kwa wageni wanaoshuka humo
Naomba nimuongezee kitu, hlo bango pale airport bongo mpaka linachakaa. Pale dubai. Taxi ya gharama kabisa inatembea kwa 76000-78000 kwa kilometre 60 popote unapoenda.Huyo mtoto hajui hata uchungu wa hela huyo hahahaha
Ila ni ndogo kwa wagen wanaoshuka humo.Kwaiyo Kila mgeni ni tajiri
Hamna tusi hapo binti yanguKwani shoga chance shida ni nin?
Mimi sijakutana mbona? Wewe umeniita binti mimi nimekuita shoga pamoja na mama yako sasa hapo tusi lipo wapi?
Mimi mi binti kwa madai yako na mimi nikasema wewe ni shoga sasa kinachokuuma nini shoga wewe?
Relax ndugu
Ni hiviAkili za kitoto kabisa na za kipumbavu kwa kuwa tunaweza panda ndege ndio twende city centre kwa 60 elfu kwa kuwa tuna hela za kichezea?
Kwa hiyo kwakuwa watu wanapata mshahara basi sukari iuzwe 30 elfu?
Huyu aliyepanga hizi bei ni mjinga na kwanza ilitakiwa kuwepo na tax mtandao zilizo sajiliwa na hapo ilikuwa sio lazima kutumia mfumo wa kizamani na kuumiza watu ..labda waseme kodi hapa ni kubwa sana!
sawa shoga chance, wahi sasa ukashike ukuta.Hamna tusi hapo binti yangu
Ni utaratibu mzuri sana Kwa kweli...japo ujio wa bolt/Uber umesaidia sana Kwa kweliSo far utaratibu wa shuttle nimeukuta KIA mbeya airport nyingine km songea, mtwara, kigoma, mwanza ambako Airport iko mbali kidogo na mji hawaja adopt huu utaratibu. Ila ni utarsatuibu mzuri sana unsampa unafuu consumer pia drivers wanapata chao.
Sawa binti yangusawa shoga chance, wahi sasa ukashike ukuta.
Nikutakie usiku mwema
Sawa shoga chanceSawa binti yangu
Acha dharauNyie mtapanda Mwendokasi[emoji16]
Hamna ela
Umbali wa ndege na tax ni sawa?Waswahili shida sana, amelipa Ticket ya ndege laki 4 ila Tax elfu 40 anaanza manenoo
Watakuwa wale wapumbavu wenye taxi pale uwanjani. Juzi nimeenda na Bolt Bahari Beach kwa elfu 37,000/=Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi za taxi wametumia vigezo gani kuweka bei kubwa kiasi hiki. Aidha mbona maeneo mengine hayapo?
View attachment 2881681
Umefufukia wapi mzee wa MalampakašAcha dharau
Hata ukilipa getini haiwezi fika 60k kwa Uber kwenda Masaki.Kwa kweli haitabadilika, ndio kwanza mafuta yakipanda na zitaongezeka
Hao taxi driver wanalipia nao kupata kibali cha kupakia hapo airport, yaani wamesajiliwa.
Nadhani unaweza ukaita bolt au uber, haina shida, lakini akiingia lazima achukue tiketi getini, na saa ya kutoka lazima alipie, na hiyo gharama ataongezea juu ya nauli yako.
Wewe K hakuna tajiri wa kufanya Umaku unaozungumza. Hela hata kama zipo sio za kutumika kijinga kama unavyotaka tuamini.Wewe ndio mpumbavu unafikiri watu hatusafiri.
Hizo bei wala sio tatizo kwa watu wanaotoka humo ni wewe tu maskini ndo unahangaika
cc: PdidyMbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi za taxi wametumia vigezo gani kuweka bei kubwa kiasi hiki. Aidha mbona maeneo mengine hayapo?
View attachment 2881681
Zimejaa tele tena hadi kinduchi ni 30k to 35k tuKwani Uber hazifiki JNIA?
Umelazimishwa kupanda? tembea mpaka pale filling station ask for bolt au uber au panda tu daladala kablas. Ukiona huduma huiwezi jua wewe sio mlengwa. Ndio maana kuna daladala, bodaboda, bajaji, tax kila mtu anajifix anapowezaUmbali wa ndege na tax ni sawa?