Nani ana akili kuliko wote JF?

Nani ana akili kuliko wote JF?

kuna mwamba mmoja (nimesahau ID yake), miaka ya nyuma alikuwa anaandika na kuchambua mambo magumu sana yanayohusu astronomy(sayansi ya anga).

kwangu yule jamaa ni genius kwasababu alikuwa ana dedicate mda wake kushare na sisi knowledge ambayo wengi wetu hatuna uelewa nayo.kikubwa zaidi alikuwa anaelezea kwa lugha nyepesi ya kiswahili ili kila mtu apate kuelewa.

astronomy ni moja ya field ngumu and very contradicting, ndio maana baadhi ya waajiriwa wa NASA ni ma genius kweli kweli wa hisabati na fizikia.
 
Kuna akili na umaarufu. Jifunzeni kutofautisha.

Kuna ma Homo Universalis tumetuliaga tu tunawachora ma genius wa mchongo. Mtu anaandika mashudu JF anakuwa maarufu kwakuwa watu wengi wanapenda ujinga halafu anatajwa kuwa ana akili, asee. [emoji23]
kitendo cha kutambua watu wanataka nini nakuandika vtu vinagonga nyoyo za watu hao ni akili tosha mkuu.
 
Back
Top Bottom