mzee wa nguna
Senior Member
- Dec 5, 2012
- 138
- 136
Una maanisha JoseverestYule mwamba aliwezs kua wa kwanza kucomment newpost zote jf za majukwaa yote bila kuwahiwa na mtu yeyotejapo jina nimelisahau.Wa pili ni dogo mmoja sijui anaitwa Infantry Soldier nahisi toka alipoaga last time kua yuko bize na project yake na vijana flani hajawahi andika au kulike au kujihusisha na jf kwa namna yeyote ile