Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Huyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?

Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo bora nionekane kunguru..kaacha Dona kizembe sana.
Kwamba kaacha dona kizembe
 
Mi naona kosa sio la huyo Askar alikuwa na nia nzuri na plan ilikuwa nzur kosa lilikuwa watoa cover wali delay sana na hakukua na mashambuliz mfululizo .. na walipashwa welenge ndan ya kibanda kumlazimisha jamaa alale chini.. ila wao walikuwa wanapiga ukutan nje na pembeni .. had jamaa ananyanyuka na kumshoot jamaa

unaona kabisa kwenye clip jamaa had anamchungulia askar ili ampige.. Askari wa kutoa cover wetu ndo kidogo waliteleza au cordination kati yao haikuwa nzuri
 
watu kwa kukosoa wapo vizuri
 
Ivi watanzania kuna kitu hamkijui maana kila kitu mnakichambua as if nyie ni professional
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288


Polisi ndio wahusika wakuu ktk drama hii. Ndugu wa huyo kijana watapata shida kubwa ktk juhudi ya polisi kuficha uhusika wao. Mwanamke shuhuda wa tukio hili anasimulia mtuhumiwa aliuawa akiwa amepiga magoti na amenyanyua mikono juu kuonesha amesalimu amri.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288
Chuo cha polisi wanakata miezi 9, wakati fulani wa uchaguzi walikaa miezi 3, sana walifundishwa kufunga boot na kupiga salute.Polisi imeahidi kutoa taarifa baada ya uchunguzi. Wakati matokeo bado, mkuu wao kesha hitimisha linahusika na uwepo wa askari wetu Msumbiji.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288
Huyo ni askari mlizi kumbuka wanalipwa laki na nusu hadi laki mbili kwa mwezi kwahiyo aliona ajitoe ufahamu mbele ya chuma iliapandishwe cheo na mshahara
 
Chadema ndio magaidi, maana wangevaliwa kila kifaa cha kujikinga na magari ya mabomu. Ila gaidi halls tunalifuata kama tunaenda chooni! Weledi wa majeshi yetu ni uonevu tu.
'Gaidi' kanyamazishwa na polisi ili tupokee habari za upande mmoja tu, polisi na serikali yake. Ukweli halisi sio rahisi kumfikia Raisi, akizipata atasoneneka sana na utendaji wa PT kuliko jana alivyo kuwa anawasuta kwenye kikao chale.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hawakukimbia ila shuhuda, ndugu yangu huyu anayeishi hapo mjini Dar' salaam alinambia kwamba Hamza alishuka kwenye boda akaelekea kwenye kibanda ambacho askari walikuwepo,akajifanya mtu salama anayehitaji msaada wa kipolisi suddenly akatoa pisto na kuwashambulia.Achana na sudden attack(ambushi) aisee mbinu zote huwa zinapotea.Poleni sana polisi wetu.
 
Hakuwa na sababu ya kutoka lile eneo na kumpa kisogo yule muuaji

Alitakiwa abaki pale pale huku akimuwinda iliotokea sura amlipe
Kukimbia kwake limemsababishia madhara makubwa
 
Ndugu yako aliyasikia maongezi ya kibandani? Simjui Hamza, wengi wamesha mhukumu japo tayari amesha uliwa na polisi japo alijisalimisha. Nikikumbuka mauaji ya wafanya biashara ya madini wa Mahenge kule Mabwepande, utekwaji na upoteaji raia, vifo vya raia mikononi mwa polisi, polisi wanavyotenda kwa weledi wa chini bila kufuata sheria, maelezo yoyote toka kwao polisi kwa tukio la jana yatakuwa ni uongo mtupu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Jamaa shabaha wako shallow sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…