Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Nakuona unakusanya taarifa kidwanzi, ndugu mchangiaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli inaonekana hawaangalii movie hawa
 
Hana mbinu wala mipanngo alienda kizembe saana, alitaka kufanya mambo ya anodi shoziniga wakati akili na uwezo wa j plus.. [emoji23]

Halafi piia askarri wetu shabaha ni 'NDUHU, sifuri kabisa, jamaa alijitokeza wakapiga risasi kibao wakamkosa
Hapo ndipo niliona police shabaha zero. Kuna wake walikuwa nyuma ya ukuta walikuwa wanarusha risasi zinagonga katikati ya barabara
 
Wewe ni muelewa, hata uwe komandoo ukishtukizwa unauawa ndio maana hata makomandoo wa Marekani wanauawa na wanamgambo wa kiislamu maana huwa ni ambush, by the way tusifurahie kifo cha mpigaji wala mpigwaji, hapo kuna yatima wameachwa, kuna wajane wameachwa, kuna wagane, achaneni na kifo aisee.
 
Hivi hiyo tear gas aliirusha saa ngapi?
 
Hapo umedanganywa alikuwa amesimama
 
Hata huhitaji ushuhuda wa mwanamke. Kuna video ipo inaonesha risasi ikimpata ilhali amesimama katikati ya barabara bado akiwa yuko tayari kufyatua bunduki, ilipompata akaelekea kuinama huku anarudi kinyume na akaangukia mgongo. Siwezi iweka clip hapa.
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288
huyu alikuwa sawa! wa kulaumiwa ni kampuni yake cha kwanza kwa kutompa bullet proof jacket.Lakini pia sheria za makampuni Binafsi za Ulinzi Tanzania zimepitwa na wakati.na kingine Tanzania bado atujawa na Ugaidi au Ujambazi kama Sauz na Kenya! lakini Kamanda was doing his Job kisawasawa na alikuwa anawasiliana kwa Ishara zote kama askari alie kwenye uwanja wa vita.Pitia Video yake na angalia alitumia ishara ngapi kati ya hizi



 
Huyo ni askar polisi acha kuongopea watu, SGA pistol anaitolea wapi? Polisi wetu wa ovyo tu wamezoea kupambana na wapinzani wasiokuwa hata na mawe, kwnye matukio kama haya ndio tunawajua kuwa ni empty set kabisa
 
Waliuawa mkuu hawakukimbia.
 
Huyo ni askar polisi acha kuongopea watu, SGA pistol anaitolea wapi? Polisi wetu wa ovyo tu wamezoea kupambana na wapinzani wasiokuwa hata na mawe, kwnye matukio kama haya ndio tunawajua kuwa ni empty set kabisa
sawa Police wetu wana swetaz nyeus na suruwali Blackz
 
Tabu ya kuangalia sinema za Marekani na kujiribu kufanya kama walivyoona kwa Rambo na Arnold Swchazziniger
 
Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.

He did what he did, hongera kwake!
 
He is the Nation Hero.He did what a true soldier expected to do
Ni ujinga sio ushujaa,kuwa close namna ile na mhalifu aliwapa ugumu hata askari wenzie waliokua wanashoot kutokea upande wa pili wasije kumzuru na yeye,huyo askari na huyo mhalifu wote wajinga,wamejianika hivyo wakidhani wanacheza grand thief auto (gta) ya ps 5 vile,that was real sio gta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…