Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

Unaumia sana Samia kuongoza nchi, vumilia tu kwani sidhani kama una ujanja wa kubadili chochote.
Siumii Samia kuongoza nchi bali naumia anaejiita kuwa ni Rais wa nchi kuhamasisha ufisadi katika Taifa
Your browser is not able to display this video.
 
Ata wanapokuwepo matatizo au maamuzi yote ya kiserikali huwa anayatafutia ufumbuzi waziri mkuu.

Bi Tozo na makamu wake kazi yao uwa kufungua miradi, kuhudhuria makongamano, kuteuliwa na kuapisha; wakimaliza hao wanakwea pipa wanapojua nje ya nchi.
Ukiwa mdogo utatumwa na kutumikiashwa..

Ndio Kazi ya PM,mwambie asiwataje hao huko anakotatua matatizo aone moto..
 
Kwa nini Spika wa bunge badala ya waziri mkuu ??
 
Anaye achiwa kuendesha nchi anaamrisha mambo yote au baadhi tu? Kwa maana ya kuendesha mpaka uamiri jeshi mkuu?
 
Waziri mkuu je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…