Banaeeeh acha kusumbua! We ushaona Katiba hiko hivo unauliza Waziri mkuu je we unataka afanyaje sasa? Akabidili Katiba? Waziri mkuu anabaki katika majukumu yake kuwa ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za serikali.Waziri mkuu je?
Hili ndio GbuuuMsoga gang
Kheeeeeh bas sorry.Banaeeeh acha kusumbua! We ushaona Katiba hiko hivo unauliza Waziri mkuu je we unataka afanyaje sasa? Akabidili Katiba? Waziri mkuu anabaki katika majukumu yake kuwa ndiyo mtendaji mkuu wa shughuli za serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.RaisKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Makamu anapambana sana, ndo anafanya shughuli zote za ofisini alizopaswa kufanya Rais, ukitaka kufahamu hilo nenda DodomaAta wanapokuwepo matatizo au maamuzi yote ya kiserikali huwa anayatafutia ufumbuzi waziri mkuu.
Bi Tozo na makamu wake kazi yao uwa kufungua miradi, kuhudhuria makongamano, kuteuliwa na kuapisha; wakimaliza hao wanakwea pipa wanapojua nje ya nchi.
Autopilot. Incase kama kuna dharula Jakaya yupo msoga for further use 😀😀😀😀Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Kwani PM ndio kajiamulia hayo ni maamuzi ya civil services inavyoonekana vinginevyo ata yeye PM awezi jua wapi aende kwenye tatizo sugu; sasa wala sio la kushangaza akisema katumwa na boss wake si ajabu ata mwenyewe hajui nini kinaendelea.Ukiwa mdogo utatumwa na kutumikiashwa..
Ndio Kazi ya PM,mwambie asiwataje hao huko anakotatua matatizo aone moto..
Inawezekana sijui what’s behind the scenes lakini publicly key decision za serikali sasa hivi PM ndio trouble shooter it’s an open secret you just have to watch it.Makamu anapambana sana, ndo anafanya shughuli zote za ofisini alizopaswa kufanya Rais, ukitaka kufahamu hilo nenda Dodoma
Mkuu Kijakazi, japo unaonekana kama umeuliza Jambo dogo la kawaida, lakini kiukweli umeuliza Jambo fulani kubwa sana.Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Katumwa na ni Kazi yake,ndio maana huko Bungeni maswali anaulizwa yeye na Mawaziri sifa kwa Rais..Kwani PM ndio kajiamulia hayo ni maamuzi ya civil services inavyoonekana vinginevyo ata yeye PM awezi jua wapi aende kwenye tatizo sugu; sasa wala sio la kushangaza akisema katumwa na boss wake si ajabu ata mwenyewe hajui nini kinaendelea.
Lakini lipo wazi civil service Bi Tozo wamemuachia majuku ya kwenda kukata utepe na mkasi, makongamano, kuapisha na kutoa speech za rejareja; wakipata fursa wanamtoa nje ya nchi.
Otherwise majukumu ya kuendesha nchi wamemrushia Majaliwa serikarini sema kuna maamuzi kama PM awezi fanya ni ya raisi tu.
Sio siri wanachofanya civil servants wa Ikulu kiko wazi.
Hiki kimtu kikikaimu wakirudi watakikuta kimeenda mahakamani kuzuia SSH na MPANGO wasiingie ikulu tenaSpika ndio anafuata hapo kwenye chain of seniority
Spika wa bungeKatiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Hilo ndilo jibu.Waziri Mkuu ndiye anashika hatamu ya uongozi wa nchi!
Mimi ni mwalimu wa uraia wa kujitolea.Kama kuna mwanafunzi mlete kwangu.Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Ukiangalia hapo, Waziri mkuu hakutajwa popote, ktk Nchi hii ukishafika level ya UWAZIRI MKUU, sahau kabisa kuhusu nafasi Ile ya JUU, ni MWIKO.3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.
(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi
c) Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya
Muungano.