Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

Makamu anapambana sana, ndo anafanya shughuli zote za ofisini alizopaswa kufanya Rais, ukitaka kufahamu hilo nenda Dodoma
Rais amebaki kuteua,kutengua na kuyatamka mambo yaliyofanywa na VP.
Huo ndio ukweli.
Dr. Mpango anapiga kazi zote za kutumia ubongo.
 
Kwasasa Tulia ndio Amiri jeshi mkuu ana Nuclear code zote
 
Marekebisho ya Katiba yaliwaondoa Spika na Jaji Mkuu kwa maelezo kwamba mkuu wa mhimili mmoja hawezi kuongoza mhimili mwingine. Kwahiyo, kwa sasa kama wote hawapo Waziri Mkuu ndiye anaongoza.
 
Marekebisho ya Katiba yaliwaondoa Spika na Jaji Mkuu kwa maelezo kwamba mkuu wa mhimili mmoja hawezi kuongoza mhimili mwingine. Kwahiyo, kwa sasa kama wote hawapo Waziri Mkuu ndiye anaongoza.
Wanabadili kimya kimya!!! ukute hata ukomo jamaa yule alishabadili Kwa kitabu, KATIBA mpya ni muhimu, Ielekeze kuwa ASIWEPO yeyote atakaeweza kuibadili kifungu chochote ktk Katiba bila ridhaa ya wananchi, hata wabunge wasiruhusiwe.Amen
 
Weka ushahidi, waziri mkuu ni mwiko kusogelea kiti hicho.
Jana ilikuwa ni vituko vitupu huko bungeni, no kasikia CHAWA wa TULIA Ackson akaomba uwanja wa ndege songwe uitwe TULIA ACKSON,Naye majaliwa akawapeleka kina Julio ma namungo bungeni kuwasalimia wabunge,yote haya waliamini wanakaimu uraisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…