Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Binafsi kama hatojali naona dr.slaa anaweza kabisa hiyo nafasi.

Anaweza fanya mabadiliko ya balozi akamrudisha slaa mjengoni kule ubelgiji akamchomeka huko hata ole sendeka
 
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Hivi huyu jamaa ji ndugu na waziri aliyempokonya nafasi Mh. Kigwa? Dr. Damas Ndumbaro?
 
Na hadi mtu anachaguliwa kuwa balozi, anakua amekidhi vigezo gani?
 
Aliyepita pia balozi ombeni sefue nae alikuwa balozi na sas aliefariki pia Ni balozi balozi wa Nigeria namuona
 
Asha Rose .
Tatizo moja la mteuzi haangalii tu sifa za amteuaye lakini pia comfort yake iwapo atamweka karibu naye huyo amteuaye. Mara nyingi wale ambao hana ukaribu nao ama ni kama anataka wapumzike ndio amekua akiwapeleka huko 'mbali' nae kwa kofia za kibalozi, refer Mangu, KP, Kairuki, Dau, Asha Rose mwenyewe pia etc. So wacha tuone, upper hand aliyonayo Dr. Stegormena Tax ni kwamba ameshaserve kama Permanent Secretary kwa muda mrefu tu kabla ya kuteuliwa kwenda kuwa mtendaji wa SADC unlike Migiro ambaye ameserve nafasi za kisiasa zaidi hapa nchini kuliko utendaji. Kujua how public system machineries zinavyofanya kazi ni muhimu sana kwa nafasi ya CS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…