CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Hii serikali mmeiona ni ya maigizo sio?.Mkuu Masanja KAJALA au MKANDAMIZAJI?
Mimi nadhani Babu Tale Anafaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii serikali mmeiona ni ya maigizo sio?.Mkuu Masanja KAJALA au MKANDAMIZAJI?
Mimi nadhani Babu Tale Anafaa!
Hivi huyu jamaa ji ndugu na waziri aliyempokonya nafasi Mh. Kigwa? Dr. Damas Ndumbaro?Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
ondoeni Shaka hapo hayupo kwa list. Ilatayari amepatikana lakini ni big surprise kwenu.no one was thnkn might be him,bt ofcoz he deserve for tht position.Namba moja anafaa
Nyanda za Juu KusiniKanda pendwa[emoji28][emoji28]ipi hiyo mkuu
Dr. Tax probably? Ama nani wamuona anatoshea kwa kigezo hicho cha jinsia?Katibu kiongozi mwanamke wa kwanza anakuja.
Na hadi mtu anachaguliwa kuwa balozi, anakua amekidhi vigezo gani?Mkuu, kuna mabalozi wanaoteuliwa kutoka maeneo mawili tofauti, kuna wanaoteuliwa kutokea kwenye siasa na kuna wanaoteuliwa kutokea ndani ya serikali (watumishi wa umma). Balozi Kijazi kabla ya kuwa balozi alikuwa ni mtumishi wa umma kwenye wizara ya miundombinu/ujenzi, ndio baadaye akateuliwa kuwa balozi. Kwahiyo, mzee Kijazi hakuwa mwanasiasa. Chikawe, Nchimbi, Dr. Nsekela, Dr. Slaa n.k. hawa ni mfano wa mabalozi walioteuliwa kutokea kwenye siasa, kwahiyo sio rahisi watu kama hawa kuwa katibu mkuu kiongozi. Mberwa Kairuki, Ramadhani Dau na Ernest Mangu ni mfano wa mabalozi walioteuliwa kutokea kwenye utumishi wa umma. Hope umenipata.
Masanja kadogosa anafaa Sana hii nafasiNadhani sasa ni wakati mwafaka MASANJA akashika hii nafasi,
Nawasilisha.
Kati ya waziri na katibu mkuu kiongozi nani yupo juu kiitifaki.Msije kushangaa Prof wa Jalalani a.k.a Kabudi akawa KM.K
Katibu mkuu kiongoziKati ya waziri na katibu mkuu kiongozi nani yupo juu kiitifaki.
Aisee nimecheka mwenyewe Hadi hapa ofisini wamenishangaa kucheka mwenyeweapewe Wema Sepetu, kwanza ni mweupee kama roho yake...au nasema uongo ndugu zangu?!.
Kati ya waziri na katibu mkuu kiongozi nani yupo juu kiitifaki.
Asha Rose .Dr. Tax probably? Ama nani wamuona anatoshea kwa kigezo hicho cha jinsia?
Tatizo anatokea KilimanjaroProf. Sifuni Mchome, one of the few luminary minds we still have.
I said.UMEANGALIA HILI SUALA KWA JICHO LA TATU MKUU
Tatizo moja la mteuzi haangalii tu sifa za amteuaye lakini pia comfort yake iwapo atamweka karibu naye huyo amteuaye. Mara nyingi wale ambao hana ukaribu nao ama ni kama anataka wapumzike ndio amekua akiwapeleka huko 'mbali' nae kwa kofia za kibalozi, refer Mangu, KP, Kairuki, Dau, Asha Rose mwenyewe pia etc. So wacha tuone, upper hand aliyonayo Dr. Stegormena Tax ni kwamba ameshaserve kama Permanent Secretary kwa muda mrefu tu kabla ya kuteuliwa kwenda kuwa mtendaji wa SADC unlike Migiro ambaye ameserve nafasi za kisiasa zaidi hapa nchini kuliko utendaji. Kujua how public system machineries zinavyofanya kazi ni muhimu sana kwa nafasi ya CSAsha Rose .