Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

kwa maoni yangu, nikweli marehem alikuwa nasifa zte zakuwa katibu mkuu kiongozi.
nabaada ya Mungu kuruhusu apunzike, Naona mtu wakuvaa viatu vyake ni Dr. Hasan Abas , msemaji mkuu wa serikali na jatibu mkuu wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo.

kama kunamwingine unamuona zaidi ya huyu hebu weka hapa.
 
Mchizi Mox au Mpoki wanafaa sana.
 
Sijui inakuwaje yule jamaa akipewa hiyo nafasi Bwana Daudi Albert Bashite. Huyo ndio katibu mkuu kiongozi anaekuja
 
Nimesema kama wasingekuwa wabunge wa kuchaguliwa basi Selemani Jaffo au Dr Mwigullu Nchemba wangefaa kumrithi balozi Kijazi japo kiukweli hawavifikii kabisa viwango vyake.

Toa mawazo yoko.

Pale Chadema hakuna anayetosha atwaliwe kwa mkopo?

Maendeleo hayana vyama!
 
In fact madudu aliyoyafanya aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ambapo badae alikuja kutumbuliwa huwezi ukamu-exclude huyu mwanamke kwasababu madudu yote kwa kiasi kikubwa walifanya pamoja mbali ya kwamba walikuwa na mahusiano mengine ya boy and girl friend wakiwa kwenye hilo shirika.

Bada ya ujio tu wa watu hao wawili kwenye hilo shirika shirika likaanza kwenda mlama tofauti ilivyokuwa hapo awali. Hata kwenye utaalamu wa mambo ya HR kwenyewe nako ni shida, she is very unethical!....ujanjaujanja tu na lobbying ndio anachokitumia, otherwise integrity yake ni zero kabisa!!!
 
Mwigulu nchemba Jana amepiga marufuku kuwataja marehemu akiwemo huyo jamaa....ebu mwacheni marehemu wetu apumzike huko aliko
 
Kuna za chini ya kapeti nimezipata kutoka kwa mtu mzito kwamba moja ya majina yanayopendekezwa kuvaa viatu vya katibu mkuu kiongozi ni kijana mchapakazi kutoka mitaa ya Kolomije Paul Makonda.
Kwa hiyo wewe utakuwa ni PS wake mtarajiwa bila shaka.
 
Askofu Gwajima kwani anasemaje kuhusu vyeti vyake vya form four?

Bado ana 0 au ali reseat?
 
Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.

Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
 
Mtu hata hajazikwa tayari watu wanapigia nafasi mahesabu
 
Liquid atafaa sana kwenye hiyo nafasi. Nadhani anamzidi busara kidogo Bashite.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…