Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Makonda ndio mtu sahihi hapo
Huyu amefoji vyeti! Wafanyakazi hatuko tayari kuongozwa na Daudi Albert Bashite. Alistahili kutumbuliwa mapema! Ila ndiyo hivyo tena, double standard ilifanya kazi yake.
 
Nazn Jafo pia hiii nafasi anawez kuitendea Haki.
 

Inakuhusu nini?
 
Naona kama Foreign Ministry wajiandae kupata Katibu Mkuu mwingine.
 
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…