darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Chalamila apewe hiyo turufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amefoji vyeti! Wafanyakazi hatuko tayari kuongozwa na Daudi Albert Bashite. Alistahili kutumbuliwa mapema! Ila ndiyo hivyo tena, double standard ilifanya kazi yake.Makonda ndio mtu sahihi hapo
Huyo asahau! Atastaafia huko huko China. Sisi Mataga hatumtaki kabisa arudi.Amteue Balozi Kairuki wa China
Ile ofisi inahitaji watu wenye busara na hekima! Ila kwa bahati mbaya huyo Albert Chalamila amejaza minyoo tupu kichwani mwake.Chalamila apewe hiyo turufu.
Hapana, hajawahi.Butiku aliwahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.
Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
AmepitaMama Gwajima anafaa
I second thisAchana na mmea haukufai
Tuliambiwa nafasi za kuteuliwa haziangalii elimu bali uwezo. Kwa Tanzania tu.Kwa elimu ipi,