Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Huyu amefoji vyeti! Wafanyakazi hatuko tayari kuongozwa na Daudi Albert Bashite. Alistahili kutumbuliwa mapema! Ila ndiyo hivyo tena, double standard ilifanya kazi yake.
Kumbe wa ni Msongati
 
Wilson Mutagaywa Kajumula Masiling is a Tanzanian politician and diplomat. He is Tanzania's Ambassador to the United States after having served as Ambassador to the Kingdom of the Netherlands from March 2013.

Huyu nae ana faa japo umri 64....
Hamna kitu ana tamaa kwa ajili ya visenti alimkandamiza marehemu Mzee Mengi na kuwakumbatia wahindi.
 
Atakuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Kwanza form 4 failure, aliyegushi jina. Nayo itakuwa miongoni mwa maajabu ya Dunia.
Na kama alichaguliwa kwa kupigiwa kura kawa Rais wa vyao vikuu Tanzania, basi nchi ina matatizo makubwa.

Na akiwa Katibu Mkuu kiongozi itakuwa sawa tuu kwa kuwa wanafuata maamuzi ya vyao vikuu Tanzania waliyo yafanya miaka mingi iliyopita. . .
 
Ni afadhali babu taletale Mara Mia Tena huenda akapeleka building and Finance ikulu
 
Huyu amefoji vyeti! Wafanyakazi hatuko tayari kuongozwa na Daudi Albert Bashite. Alistahili kutumbuliwa mapema! Ila ndiyo hivyo tena, double standard ilifanya kazi yake.
Suala la elimu lingekuwa muhimu Mbowe asingekuwa Mwenyekiti.
 
Nasoma Comment 😁😁😁
 
Huyu huyu Bashite [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kwani Makonda helimu yake kaishia wapi,naomba maelezo kwa anaye fahamu
 
kampleke kwenu nyumbani awe KMK wa familia yenu apat uzoefu huko kwanza
 
Usiseme akipewa hicho cheo kitamkomaza kisiasa sema akipewa hicho cheo atazidi kuwa limbukeni na kujiona mungu mtu.
 
Ukisoma vitu kama hivi ndio unaelewa kuwa IQ za watanzania wengi ziko chini ya s za sokwe.
Hiyo mtu haelewi nafasi ya katibu mkuu, anadhani ni msogeza mafaili ya ikulu
 
Kama vile Ukatibu Mkuu Kiongozi imekuwa cheo cha kisiasa. Kumbe ni nafasi nyeti utumishi wa umma. Aibu sana hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…