G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Elimu ya kufanya nini we naeKwa elimu ipi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya kufanya nini we naeKwa elimu ipi,
Mungu atuepushie mbali hii tafarani..
Bashite akiwa katibu mkuu kiongozi itakua ni kosa kubwa kwa serikali.
Hata mimi kule naweza, ili mradi tu amrudishe SlaaBinafsi kama hatojali naona dr.slaa anaweza kabisa hiyo nafasi.
Anaweza fanya mabadiliko ya balozi akamrudisha slaa mjengoni kule ubelgiji akamchomeka huko hata ole sendeka
Bangi imekukataa, Anza kunywa maziwa.Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Mkuu mbona mnausemea sana vibaya mmea tatizo sio mmea tatizo ni kichwa cha mtuAchana na mmea haukufai
Anavyomchana mkuu kwenye interview juu ya aseme ukweli kuwa kuna corona hiyo nafasi asahaauKumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Tulieni kwanza Marehemu apumzike vizuriKwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.
Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Kwanini:-
Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.
2........
3........
4......
Mkuu hii siyo nafasi kisiasa hii ni ya kitaaluma na weledi wa Hali ya juu. Kama unataka akomae kisiasa apewe tu viti maalum pale mjengoniKumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Hizo ni nafasi za oroffessionals ww vp!!?Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Hiyo nafasi inatakiwa apewe mtu kutoka chuo kikuu UDSM, mtu smart kama alivyo kuwa huyo ndugu kijazi. Nadhani tumeelewana.Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.
Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Kwanini:-
Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.
2........
3........
4......
huyo jamaa hana maonoMkuu hii siyo nafasi kisiasa hii ni ya kitaaluma na weledi wa Hali ya juu. Kama unataka akomae kisiasa apewe tu viti maalum pale mjengoni
Upuuzi na ukabila unakusumbua!!!Akitokea Chato au kanda pendwa hakika itapendeza