Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Angekuwa mzazi wako kafariki ungeandika upuuzi huu?
Mleta mada, nafikiri katumwa kumharibia Dr Ndumbaro.
Yaani hata mwili haujapoa vizuri, jamani haina tofauti na outcomes urithi kabla maiti haijazikwa.
Dr Ndumbaro kama ni team yake ni ya kipuuzi sana. Yaani wamenisikitisha!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaani, Kijazi hajazikwa mmeanza kuvizia cheo chake?
Hivi wewe ulieleta bandiko angekua aliefariki ni baba yako ungeandika hivi?
 
Hata mimi mwenyewe nashangaa!!!

Kwanza Dr. Laurean Ndumbaro mwenyewe hawezi kumudu viatu vya marehemu John Kijazi. Dr. Ndumbaro hafai kupewa ile nafasi ya KMK kama ilivyoelezwa hapo awali.
 
Duu jamani,mmeshaanza kufikiria replacement yake kabla hata ya jamaa kuzikwa? Kwani hakunaga uwezekano wa mtu kukaimu hiyo nafasi kwa kipindi flani?
 
Prof. Elisante Ole Gabriel, KM mifugo, yupo cool, smart and principled, huyo Ndumbaro yupo pale utumishi kutekeleza maagizo ya jiwe kukandamiza maslahi ya watumishi, mwaka wa sita hakuna nyongeza ya mshahara, hakuna kupanda vyeo, kupunguza mishahara ya watumishi, ili jiwe abaki na pesa za kutosha kujenga himaya ya chattle...ukweri razima usemwe kama ulivyo au nasema uongo ndugu zanguni?
 
Wadau japo ni mapema sana, ila tutambue katibu mkuu kiongozi lazima/kawaida atakuwa ni mtumishi wa umma, kwahiyo tusitaje majina ya wanasiasa.
Jiwe hajali hilo, umesahau kwenye wakurugenzi wa halmashauri hadi watangazaji waTV wakawa ma-DED wakati hawajawahi kuajiriwa kwenye utumishi wa umma, sasa unashangaa hawa watu walipanda hadi kwenye nafasi ya ukurugenzi wakiwa na cheo gani....
 
Hata aibu huna mtu hajazikwa unawaza cheo ? Umekuwa Jiwe Agustino Mahiga hajazikwa kaishateua mwingine , muwe na aibu basi na Jiwe wako .
 
Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…