DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Degree ziszo na tija kwa jamii inayomzunguka.Napendekeza
Prof Kamuzora
DR. Mwakyembe digirii nne on the beat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Degree ziszo na tija kwa jamii inayomzunguka.Napendekeza
Prof Kamuzora
DR. Mwakyembe digirii nne on the beat
Mleta mada, nafikiri katumwa kumharibia Dr Ndumbaro.Angekuwa mzazi wako kafariki ungeandika upuuzi huu?
Hata mimi mwenyewe nashangaa!!!Mleta mada, nafikiri katumwa kumharibia Dr Ndumbaro.
Yaani hata mwili haujapoa vizuri, jamani haina tofauti na outcomes urithi kabla maiti haijazikwa.
Dr Ndumbaro kama ni team yake ni ya kipuuzi sana. Yaani wamenisikitisha!
Everyday is Saturday............................... 😎
Duu jamani,mmeshaanza kufikiria replacement yake kabla hata ya jamaa kuzikwa? Kwani hakunaga uwezekano wa mtu kukaimu hiyo nafasi kwa kipindi flani?Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.
Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Kwanini:-
Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.
2........
3........
4......
Twende pole poleKatanga. Mark this
Jiwe hajali hilo, umesahau kwenye wakurugenzi wa halmashauri hadi watangazaji waTV wakawa ma-DED wakati hawajawahi kuajiriwa kwenye utumishi wa umma, sasa unashangaa hawa watu walipanda hadi kwenye nafasi ya ukurugenzi wakiwa na cheo gani....Wadau japo ni mapema sana, ila tutambue katibu mkuu kiongozi lazima/kawaida atakuwa ni mtumishi wa umma, kwahiyo tusitaje majina ya wanasiasa.
Mbona umeenda mbali sana kuna jirani yake Tumtemekesanga alikuwanazo 5asitutishe, mugabe alikua na degree 7 na hakua anajitapa nazo.
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.
Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Kwanini:-
Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.
2........
3........
4......
Mkuu Masanja KAJALA au MKANDAMIZAJI?
Mimi nadhani Babu Tale Anafaa!
Dr. Laurean Ndumbaro hafai kabisaaaaa!!!. Hata nafasi aliyokalia sasa ina mpwaya kabisa...
Balozi William Masilingi wa USA ndo the next CSWafuatao wanaweza kuteuliwa
1. Kusiluka katibu ofisi ya Rais...