makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Anajua Nani acheze lakini huyohuyo..... ANACHAGUA mwenyewe na ANATENGUA mwenyewe.Jiwe hua hafundishwi! Yeye kama kocha anajua nani acheze kipindi cha kwanza na nani atokee sub.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua Nani acheze lakini huyohuyo..... ANACHAGUA mwenyewe na ANATENGUA mwenyewe.Jiwe hua hafundishwi! Yeye kama kocha anajua nani acheze kipindi cha kwanza na nani atokee sub.
Hata maiti hajaoshwa mmeshaanza kuvizia nafasi?
Safari hii atakua mwanamke.
"You can take this statement to the bank."
PaulaMkuu Masanja KAJALA au MKANDAMIZAJI?
Mimi nadhani Babu Tale Anafaa!
Prof. Sifuni Mchome, one of the few luminary minds we still have.Napendekeza
Prof Kamuzora
DR. Mwakyembe digirii nne on the beat
Akafie mbaliYupo sana bado hajapata uteuzi
Mkuu kwani tulishirikishwa kumpata huyu aliyeondoka kwa mapenzi ya Mungu?Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia...
Kajala vipi?Nadhani sasa ni wakati mwafaka MASANJA akashika hii nafasi,
Nawasilisha.
Mleta mada ujue ni kati ya chawa wa BashitePunguzeni vitimbi na chukulia msiba wa mwenzio kama vile ungeombeleza ukifikwa na msiba wa mtu wako wa karibu.
Kanda pendwa[emoji28][emoji28]ipi hiyo mkuuAkitokea Chato au kanda pendwa hakika itapendeza
Bashite kachoka sana na maisha ya kubahatisha mitaaniHata maiti hajaoshwa mmeshaanza kuvizia nafasi?
Ajaye atatoka subJiwe hua hafundishwi! Yeye kama kocha anajua nani acheze kipindi cha kwanza na nani atokee sub.
UMEANGALIA HILI SUALA KWA JICHO LA TATU MKUUSafari hii atakua mwanamke.
"You can take this statement to the bUME