Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Hata maiti hajaoshwa mmeshaanza kuvizia nafasi?

MNA TABIA ZA KICHAWI, MNAWANGA MCHANA KWEUPE KABLA HATA MAREHEMU HAJAZIKWA!!! HAO MNAOWAPIGIA DEBE HAMNA HATA MMOJA ATAPATA NAFASI HIYO!!!
 
Mtu mwenye sifa zifuatzo basi anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, kumrithi Kijazi;
1. Mtu yeyote Kada haswa wa Chama chao kile.
2. Mtu yeyote anayetoka Kanda pendwa ya Uchumi wa Kati.
3. Mtu ambaye amewahi kufanya kazi 'rais' wa Uchumi wa Kati akiwa kwenye wizara ya Ujenzi &Uchukuzi.
4. Mtu yeyote toka TANROADS na alikuwa karibu na 'rais' wa uchumi wa kati.
 
Wanajamvi,

Kwema? Kwa zilizo chini ,ni kwamba huyu mwamba DAB ndie mrithi wa kijazi,na uteuzi wake utaanza soon,ila washauri wa mzee wamempinga,lakini pia kama mjuavyo mzee hapangiwi yeye hujua nani acheze full time na nani atokee bench,


Stay tuned
 
Back
Top Bottom