Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Penda sana kusoma sheria na taratibu za kiongozi hautasema ulichokisema mkuu kimsingi nafasi hiyo si ya kisiasa ni ya kiutendaji hivi unajua nafasi hiyo ndio bosi wa watumishi wa umma ndio boss wa makatibu wa wizara wote lkn lazima tujue kuwa makatibu wa wizara hawaendi bungeni kwa kuwa wao sio wanasiasa makonda ni mwanasiasa lkn katibu kiongozi anatakiwa mtu mwnye utulivu na mwenye dhima ya kidiplomasia makonda hata kwa ramli hayupo hpo
 
sidhan
ile nafas inahitaj mtu mkongwe zaidi na mwenye uzoefu.kwa makonda kwAnza nasikitikaga sana kutomuona kwenye siasa.ana kipaji mbunifu na ana haiba ya uongoz .mnawwez kumhukum mnavyoona inafaa lakn haiba na charismatic ya uongoz anayo.yale mengine ni umr kumbuka ni kijana mdogo so mengine mnamuachia.ila kipaji anacho na siasa tu vile ni dirty games ila Kaliba ya makonda was not something to leave behind.
Kijana mdogo makonda? Acha utani
 
We jamaa huyo makonda ndio kwanza unamharibia hata kama mzee baba Jiwe alikua amuwaza, maana hapangiwi
 
sidhan
ile nafas inahitaj mtu mkongwe zaidi na mwenye uzoefu.kwa makonda kwAnza nasikitikaga sana kutomuona kwenye siasa.ana kipaji mbunifu na ana haiba ya uongoz .mnawwez kumhukum mnavyoona inafaa lakn haiba na charismatic ya uongoz anayo.yale mengine ni umr kumbuka ni kijana mdogo so mengine mnamuachia.ila kipaji anacho na siasa tu vile ni dirty games ila Kaliba ya makonda was not something to leave behind.

Naunga mkonyo[emoji23]
 
Kwa taarifa yako kabla ya kifo chake Balozi Kijazi aliongezewa muda mara mbili (mara ya kwanza aliongezewa miaka 2 na ilipoisha akaongezewa tena another 2 years nadhani ingeisha 2022). JPM ametamka wazi kwamba amefanya hivyo baada ya kukosa mtu wa ku replace, je hakumuona huyo Makonda??
 
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Unamdharau rais kiasi hiki?
 
Mungu atuepushie mbali hii tafarani..
Bashite akiwa katibu mkuu kiongozi itakua ni kosa kubwa kwa serikali.
 
Paul Makonda yupo vzr sana aiseeeee na ndio maana anapigwa mawe sana aliiiweza DSM 100%
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi ni nafasi inayohitaji uzoefu katika utumishi wa umma, weledi wa hali ya juu, kichwa kilichotulia na busara kubwa.

Uwe na uwezo mkubwa wa kushawishi, uelewa mkubwa na sheria za nchi, kanuni mbali mbali zinazoongoza utumishi wa serikali.

Uelewa mkubwa wa mambo ya jumla ya kitaifa, kipaji cha recruitment na kuona uwezo wa watu.. katibu mkuu kiongozi mzuri ni yule ambaye ufanisi wake, unaonekana kwa uwezo wa utekelezaji wa walio chini yake.

Kwa kifupi kama ni mzuri sana.. (of which Tanzania imebarikiwa kuwa na MaKMK bora kabisa) huwezi kujua hata kama yupo huyo kiongozi.
 
Ramli chonganishi zinaanzishwa na vijana wa kitengo kupima uelekeo wa upepo.

Katibu mkuu kiongozi ni MTU mkubwa sana.

Wanaomzidi kiubosi ni:-

1. Rais wa JMT E1

2. Makamu wa rais E2

3. Rais wa zenj E3

4. Waziri mkuu E4

5. Makamu I zenj E 5

6 makamu II zenj E6
................................

Anafuata
Katibu mkuu kiongozi E7.
 
Back
Top Bottom