Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda umfikirie kwa nafasi zingine za kiasiasa kama RC na nafasi ndani ya CCM. Hizo za Ukatibu Mkuu hata wa Wizara ndogo hawezi, achilia mbali kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK). KMK ni nafasi ya kitaalam sana ya kiutendaji na busara za kumshauri Rais, na kusimamia utendaji wa watumishi wote wa umma, kusoma kwa umakini nyaraka za Baraza la Mawaziri na kushauri ipasavyo.Hii nafasi ya Makonda!
no honor among thievesHii nafasi ya Makonda!
Who said we need honour?no honor among thieves
Hahaha ni yeye huyu kweli kaka [emoji40][emoji40][emoji40]Ewe Allan kijazi, hebu Acha mara moja hiyo tabia ya kujipigia promo.
Stupid questionNa hadi mtu anachaguliwa kuwa balozi, anakua amekidhi vigezo gani?
Tickson Nzunda Ana hizo sifa unazozisema japo sio royal wa everything,amefanya kazi ofisi ya Rais sekretariati ya maadili ya viongozi wa umma kwa mda mrefu.Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi ni nafasi inayohitaji uzoefu katika utumishi wa umma, weledi wa hali ya juu, kichwa kilichotulia na busara kubwa.
Uwe na uwezo mkubwa wa kushawishi, uelewa mkubwa na sheria za nchi, kanuni mbali mbali zinazoongoza utumishi wa serikali.
Uelewa mkubwa wa mambo ya jumla ya kitaifa, kipaji cha recruitment na kuona uwezo wa watu.. katibu mkuu kiongozi mzuri ni yule ambaye ufanisi wake, unaonekana kwa uwezo wa utekelezaji wa walio chini yake.
Kwa kifupi kama ni mzuri sana.. (of which Tanzania imebarikiwa kuwa na MaKMK bora kabisa) huwezi kujua hata kama yupo huyo kiongozi.