johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binadamu hatosheki!Kwa hiyo ana uchu wa madaraka?? 😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu hatosheki!Kwa hiyo ana uchu wa madaraka?? 😳
Hahahaaaa....... !Punguza ujuha na ww mbona mnakuwa kama mipumbavu.....huko ni kwenye chama chao sio bungeni....
Usikariri bwashee!Kwahili hakuna utamaduni wa ccm, bali yule anayemtaka mama kimkakati ndio atateuliewa kushika hiyo nafasi.
Wewe ndio juha, atakayeteuliwa na ccm huyo ndio spika tayari, bunge la kijani litakwenda kugonga rubber stamp tu.Punguza ujuha na ww mbona mnakuwa kama mipumbavu.....huko ni kwenye chama chao sio bungeni....
Twende na ChengeNdivyo ilivyo hadi sasa na haya majina mawili ndio yanaipasua kichwa Kamati kuu ya CCM.
Kwa pamoja tuiombee CCM jamani bila kujali itikadi zetu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Upo sahihi anataka mtu wa kumtiiiKwahili hakuna utamaduni wa ccm, bali yule anayemtaka mama kimkakati ndio atateuliewa kushika hiyo nafasi.
Mama ameshajifunza kwa Ndugai, hawezi kufanya hilo kosa.Usikariri bwashee!
Hakuna anayeridhika na kidogo, hiyo kanuni ya kuwa chini siku zote haipo,kujiuzulu au kutokujiuzulu hakufanyi asiwe na sifa na nia ya kujaribu Uspika.Sasa anatak unaibu na uspika??? Kwani katiba inasemaje? 😳
Pemba kuna mgomba kweli?John jiandae mwisho wa wiki hii mama enu anaenda mgombani kuvishwa ngozi ya chui iliyokua imefanyiwa mazindiko kwa ajili ya kumvalisha mwendazake.
Tunawaombea ila SII nguvu za kututesa zaidi.Wapendeni adui zenu!
Hilo naliona na ni makosa makubwa sana Tulia kuwa spika wa bunge.Ni wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
Tena ni uroho kabisaKwa hiyo ana uchu wa madaraka?? 😳
Bila kusahau ubatili wa matendo aliyowatenda wawakilishi wakuchaguliwa na watanzania awamu iliyopita.Hiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.
Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.
HahahaHao wa migombani jana walimfanyia " kitu fulani" shahidi pale mahakama akajikuta kichwa kimekuwa kizito kama fenesi ghafla!
Bro kila kitu kimewekwa sawa spika ni nzoka ihengeNi wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
Chenge ni fisadi. Unaiba 1.5 bilion ya serikali kwa mikataba ya hovyo wakati wa ununuzi wa Rada halafu unasema ni vijisenti?Twende na Chenge