Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Sasa anatak unaibu na uspika??? Kwani katiba inasemaje? 😳
Hakuna anayeridhika na kidogo, hiyo kanuni ya kuwa chini siku zote haipo,kujiuzulu au kutokujiuzulu hakufanyi asiwe na sifa na nia ya kujaribu Uspika.
 
Ni wazi mwenyekiti wako atalipitisha jina la cheusi mapema sana.
Hilo naliona na ni makosa makubwa sana Tulia kuwa spika wa bunge.
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Chenge ana madhaifu yake lKini ni heri mara 100 akawa spika kuliko Tulia Ackson kwani tayari ameonyesha atafanya kazi ya ya serikali na sio bunge.
 
Chenge ni nguli la sheria, anaweza kumwekea vikwazo kama inaruhusiwa
 
Hiyo kamati kuu wakimpitisha Tulia itadhihirisha ilivyo muhimu kupata katiba mpya.
Tulia ni batili kwa sababu haja jiuzulu unaibu spika. Hivyo hastahili kujadiliwa kwenye nafasi ya uspika.
Bila kusahau ubatili wa matendo aliyowatenda wawakilishi wakuchaguliwa na watanzania awamu iliyopita.
 
CCM makirikiri wanamwogopa sana Chenge trust me. Chenge hana future political aspiration kwa ivo ana uwezekano wa kulisimamia bunge kwa weredi sana bila kupendelea na kujipendekeza ilhali akilinda maslahi mapana ya CCM.

Kwa upande wa Tulia makiriri wanamhitaji ila ngoma ni nzito, wanamtaka ajilambe kwani keshaonyesha affiliations za kujipendekeza ila nakuhakikishia wanaume hawataki. Sasa wasijaribu kuwaweka wawili wapigiwe kura Tulia atapigwa, labda itokoe juu kwa juu Mtemi wamfanyie ya Eddo yaani asifike kwwnye ballot box
 
Twende na Chenge
Chenge ni fisadi. Unaiba 1.5 bilion ya serikali kwa mikataba ya hovyo wakati wa ununuzi wa Rada halafu unasema ni vijisenti?

Leo hii akikaa bungeni so ataiba 1 Trilioni , ataitaje hii sasa?

Chenge ametumika kipindi cha nyerere, mwinnyi, mkapa, na jk. Experience yake ni old school kwa sasa.

Taifa hili kwa sasa linahitaji speaker kijana wa umri wa kati na msomi ambaye ataendana na mabadiliko ya dunia/ global changes na kisha ku-relate na hali halisi ya nchi yetu in making decision katika bunge letu.

Huyo mzee na hiyo experience ya miaka 90's imepitwa na wakati. Watanzania tunataka kusonga mbele na kurudishwa nyuma na mauzoefu yaliyopitwa na wakati eti kisa masters ya havard ya mwaka 1975 wakati leo ni 2022 = miaka 48 imeshapita. Hii ni aibuu kubwa.

Chenge apumzike akalee wajukuu wake na vitukuuu
 
Back
Top Bottom