Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Sjafanya price comparison- ningekuwa na hio pesa estimate ninge i substitue kwa toyota fortuner- mara nyingi huwasimshauri mtu achukue europian car kama gari yake ya kwanza / au kuichukua wakati kavunja kibubu chake chote.. au akaenda kununua ya bei rahisi/ ya mkononi. View attachment 2611300
Hii bei yake sio chini ya 100m wakati hiyo disco ni kwenye 60m.
 
Nilipanga kununua hili dungu kwa Lukosi,ila fundi mmoja akaanikatisha tamaa sana
Mkuu achana na za Uingereza, njoo tukuagizie kutoka South Africa. Gari inakuja kwa kutembea zaidi ya 3400km na hakuna breakdown wala check engine

Ndani ya wiki 1 mpaka 2 gari inakuwa mikononi mwako. Disco nyingi za UK Zinakuwa zimekaa sana yard kusubiri auctions na chini zinakuja na kutu pia faults ndogo ndogo ambazo hutazi clear hapa mwenyewe
 
Back
Top Bottom