Huyu anazua kama wakili MadelekaAjali haikutokea bwiru, jaribu kukumbuka vizuri.
NIKO PALEEE NIMEKAA NAKUSUBIRI UJE KIVINGINE.
Kama ni hiyo ilitokea nyakato sokoni na ilihusisha basi na wala siyo lori wakati wa kampeni za 2000Kweli, ilikuwa Igoma kama Si kisesa.
Akichagua kuwa mwongo, ajue pia kutunza kumbukumbu.
unaumri ganiHIYO AJALI ILITOKEA MWAKA GANI?!
ilikuwa IgomaKweli, ilikuwa Igoma kama Si kisesa.
Akichagua kuwa mwongo, ajue pia kutunza kumbukumbu.
Wakati Mkapa akiwa Rais palikua na gari zenye injini ya V8 kwenye msafara?Sitasahau aisee nilikuwa kwenye V8 dahh
Duhwananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa"
[emoji23][emoji23]Mdomo koma
Washasahau walisema anauza nchi Kwa makaburuNa Leo wale wale wanafurahia matunda yake!
πππKweli, ilikuwa Igoma kama Si kisesa.
Akichagua kuwa mwongo, ajue pia kutunza kumbukumbu.
Naikumbuka hii au ile mmetoka misele kutafuta mnarudi unamwambia mwana tumetoka kapa!Leo ndo nimeelewa kwanini tulikuwa tunasema "nipo kapa kabisa mwanangu" kumaanisha sina hata sent
Ila yeye mwenyewe Nkapa kajuta kupitia Kitabu chake!Washasahau walisema anauza nchi Kwa makaburu
Acha utani dogo vita dhidi ya rushwa utawala huu?Achukue tahadhari maana ameanza Vita dhidi ya rushwa ni hatari Sana
USSR