Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Achukue tahadhari maana ameanza Vita dhidi ya rushwa ni hatari Sana
USSR
Kama ni kum?!$&@$ mbona dakika sifuri tu!
Sema nini acha iendelee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukue tahadhari maana ameanza Vita dhidi ya rushwa ni hatari Sana
USSR
Wewe Jamaa ni Muongo Sijapata Kuona!!!Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" .
Wakati mzee mkapa akiwa ziarani mwanza msafara wake uliokuwa chini ya ulinzi mkali kila kona ilishangaza kuona kosa au nia ovu live ikilenga gari lake kuligonga na kulikosa na kuishia kugonga magari mwengine na kuuwana watu na mzee kunusulika.
Msafara ukiwa unaipita kona ya Bwiru kwa kasi kule juu lori kubwa likavamia, ilionekana kama bahati mbaya lakini haikuwa vile kwa jicho la washauri wake wa usalama na ilibainika kuwa Wala lori lile halikufell break Ila ilikuwa njama ya mauaji na mmakuwa yule.
Wakati bado tunaweza nini kilimtokea Magufuli sasa tunaomba wabaya wanavyo jiapiza dhidi ya Rais Samia kuhusu sera ya ubinafsishaji.
Mungu awe na Rais wetu
CC , Pasco mayalla
Mwanakijiji
USSR