Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

Mzee Bwana Ben, alishatubu!
Mzee Bwana Ben, alishasema alifanya makosa.
Mzee Bwana Ben kama binaadamu alishindwa kuhimili makosa yake mwenyewe...sio siri songo lake lilikuwa ni kuwaangusha Watanzania. Yeye alijua Wakati wake ndio ulikuwa wakati wa kutuvusha Watanzania...alishindwa kufanya hivyo kwa sera za Kuambiwa. Ili mla mazima for lack of a better translation. Msimpotoshe Bibi to be!

R.I.P Ben. Mkapa
 
Leo ndo nimeelewa kwanini tulikuwa tunasema "nipo kapa kabisa mwanangu" kumaanisha sina hata sent

Leo ndo nimeelewa kwanini tulikuwa tunasema "nipo kapa kabisa mwanangu" kumaanisha sina hata sent
Usemi kwamba mtu "katoka kapa" kumaanisha mtu kutokupata kitu/faida kwenye jambo fulani umekuwepo miaka mingi toka Nyerere akiwa bado madarakani.
 
Mistake kumficha huyo mtu wenu kwa kivuli cha kutaka kuuwawa kwa sababu ya uwekezaji. Huyo ni muuza nchi. Hana sababu ya kuhofia kuuwawa. Aache kuchezea maliasili za Tanganyika. Kama anawataka sana wajomba zake basi na awagawie visiwa vya Zanzibar. Sisi hatuna tatizo kabisa.
 
HEBU TUMA VIDEO CLIP YA HIYO AJALI
HEBU TUMA VIDEO CLIP YA HIYO AJALI
 
Mwenye kuadhibu ni Mungu. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Ogopa vilio vya wananchi ukajifanya kushupaza shingo kisa wewe unamamlaka.
Watanzania si watu wa vurugu, ila wanaimani zao mbalimbali. Kuna watu wanadhani wanagarantee ya kila kitu. Wanaweza fanya lolote ati kisa wanamadaraka.

Subirini!
 
Na Leo wale wale wanafurahia matunda yake!
Matunda gani tuliyoyapata yeye mwenyewe mkapa kwenye kitabu chake anakiri kufanya makosa kwenye ubinafsishaji na kuwaacha wananchi masikini huku wageni wakineemeka
 
Mungu hawezi kuwa pamoja na wachuuzi wa raslimali za umma.
 
hakuna mungu yoyote aliye na huyo bibi sababu yeye mwenyewe sio mtu wa mungu, lolote limpate tu for all I care
 
Mungu huwa anachukua wengi tu kwenye ajali!

Hao wanaokuwa wanachukuliwa na ajali kwani wao ni wanyama?

Likitokea kwa wakuu ni kosa la Mungu?
Ujue shida sio ajali..ila namna inavyotokea
Ingekua gari kupinduka au kugama njia ni sawa...lakini kwa gari kuvamia msafara wa rais sio jambo dogo
Lakini nao hawakuwa na tahadhari?
Nakumbuka kipind Cha Magufuli, waziri mkuu alitembelea wilaya yetu, wakati wanaondoka gari la polisi lilikuwa limetangulia, sasa Kuna jamaa alikuwa kalewa akataka kuingiza gari lake njian kabla ya msafara haujakamilika
Alichokutana nacho, nadhan hata Leo akiona misafara anakaa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…