Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

Wewe Jamaa ni Muongo Sijapata Kuona!!!

Kwanza Hii ajali haikutokea Kona Ya Bwiru, Ilikuwa ni NYAKATO SOKONI MWANZA..

Pili Ajali haikuhusisha Lori, Ilikuwa ni Bus la Ally’s Lilikouwa likitokea Musoma au Tarime.

Tatu Bus Hilo lilikuwa Limepaki National AMBAPO Traffic Walimlazimisha dereva kuliondoa Pamoja Na kueleza kuwa lilikuwa bovu halina breki akalazimishwa, Alivoliwasha tu likanyooka Mazima Na kukutana Na msafara wa Rais Mkapa dereva akajaribu kuukwepa Likaungukia wale watu wanaojipangaga pembeni kupunga Mikono kwa Rais.
Watu Walikufa wa Kutosha.

Ilikuwa ni Simanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…