Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

NAKAZIA
 
Kama nyumban zingekuwa nyingi kuliko wapangaji obviously mwenye nyumba angemlipa dalali pesa amtafutie mteja ila kutokana na kwamba watu ni wengine kuliko nyumba ndo maana mtu anamfata dalali ili amtafutie nyumba


Kama unaona unapigwa inabidi utafute nyumba mwenyewe ili kuwaepuka hao madalali
 
Na kwanini utafute dalali? Kwanni usiweke tangazo kwenye nyumba yako kuwa inapangishwa? mtu wa kati wa nini?
 
 
Inategemea dalali ni wa nani, kama ulimfata wewe akakupeleka kwenye nyumba, unamlipa wewe, mapatano yake na mwenye nyumba hayakuhusu.

Mara nyingi unapoongea na dalali mkubaliane kwa kuandikiana mapema kabisa kuhusu malipo yatakuwa ngapi na vipi.

Hakuna watu wabaya duniani kama madalali wasio rasmi. Wanaofatia mawakili.
 
Tena sikuiz wamegundua kitu ukipelekwa kuonyeshwa nyumba moja ya kwaza unalipa 10k upende usipende nyumba utalipia
Si lazima
Siku hizi wanaonesha nyumba kwenye mitandao, jiridhishe nyumba husika, mpigie akupe maelekezo ilivyo kisha nenda, ukikuta iko kama alivyoelekeza kubali kulipa kisha mwambie hauna ya kumlipa mwezi mzima bali ipo pungufu kama nyumba ni 200000 mwambie una 150,000
 
Hakuna mwenye nyumba anayemtafuta dalali....dalali ndo anatafuta nyumba iliyo wazi
Wachache sana, kuna wakati nilikuwa natafuta sehemu jamani yule mwenye nyumba hataki aongee na mpangaji, yaani dalali ndio kashika usukaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wengine unaenda sehemu anakwambia mi sina tatizo ukimalizana na dalali.... na vile madalali wanakuwa na viburi utafikiri nyumba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…